Kumbe ZARI WHITE PARTY ilikuwa ya Clouds Fm?

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,449
Leo ndio nimegundua hili baada ya Ruge kusema wakati anafanyiwa interview na xxl.alikuwa anamzungumzia Dj D ommy namna alivokwenda clouds "tulimwita kwenye Zali white party japo show ilikuwa ni yetu".harafu huyu Ruge akiambiwa huwa anakataa kwamba yupo nyuma ya baadhi ya wasanii.ni safi lakini maana anajua kuisaka hela,means Zali aligeuzwa ni fursa hapo
 
Zali???

Harafu???
 
Ndio show ilikuwa yao kwa maana WALIINUNUA KUTOKA KWA ZARI & DIAMOND NDIO IKAWA YAO. Pole sana kama hujui kuwa DUNIA YA SASA iko huru kwa yeyote kuchukua fulsa, hata wewe ukitaka NENDA KAONGEE BEI NA WCB MAPEMA UCHUKUE SHOW WALIYOITANGAZA ITAKUWA 24/12/2016. Wakiwahi wenzenu MUSIWE MNALALAMIKA.
 
Ndio maana nilishangaa, Yale mapokezi ya zari yalikua ni bab kubwa pale clouds nikasema kuna kitu nyuma ya pazia, looh
 
Ndio show ilikuwa yao kwa maana WALIINUNUA KUTOKA KWA ZARI & DIAMOND NDIO IKAWA YAO. Pole sana kama hujui kuwa DUNIA YA SASA iko huru kwa yeyote kuchukua fulsa, hata wewe ukitaka NENDA KAONGEE BEI NA WCB MAPEMA UCHUKUE SHOW WALIYOITANGAZA ITAKUWA 24/12/2016. Wakiwahi wenzenu MUSIWE MNALALAMIKA.
vipi mbona povu linakutoka?
 
Leo ndio nimegundua hili baada ya Ruge kusema wakati anafanyiwa interview na xxl.alikuwa anamzungumzia Dj D ommy namna alivokwenda clouds "tulimwita kwenye Zali white party japo show ilikuwa ni yetu".harafu huyu Ruge akiambiwa huwa anakataa kwamba yupo nyuma ya baadhi ya wasanii.ni safi lakini maana anajua kuisaka hela,means Zali aligeuzwa ni fursa hapo

ZALI white party ilikua ya clouds ila ZARI white party sijui ilikua ya nani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom