Mwenye kujua alipo Mr Nice


shonkoso

shonkoso

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2015
Messages
405
Likes
641
Points
180
shonkoso

shonkoso

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2015
405 641 180
Nipo huku Kenya kuna watu wanamuulizia, Mara baada ya kusikia Mimi nimetokea tz,kiukweli cjui chochote kuhusu huyu jamaa
 
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
5,591
Likes
4,140
Points
280
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
5,591 4,140 280
Nipo huku Kenya kuna watu wanamuulizia, Mara baada ya kusikia Mimi nimetokea tz,kiukweli cjui chochote kuhusu huyu jamaa
Wanamuulizia kwa lipi funguka vizuri watu wajue hata tukionana nae tujue tunamwambia anauliziwa kwa lipi mkuu...?

Kama kumuulizia kama kumuulizia waambie yupo na anaendelea vizuri tu kiongozi.
 
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
14,713
Likes
15,859
Points
280
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
14,713 15,859 280
Yupo huku kahama kwao
 
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
9,306
Likes
7,315
Points
280
Age
49
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
9,306 7,315 280
Nipo huku Kenya kuna watu wanamuulizia, Mara baada ya kusikia Mimi nimetokea tz,kiukweli cjui chochote kuhusu huyu jamaa
Kuna tetesi huku mtaani kwenye mitandao mingine kuwa hatunae mara kajiua mara kapata ajali na bajani ila sijajua hizi yaarifa kama niza ukweli sina uhakika nazo ila habari iliyopo wanadai hayupo duniani!
Sory!!mimi sio msemaji wake hizi habari nimezisikia tuu sina uhakika nazo sahihi!!
 
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
108,352
Likes
306,989
Points
280
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
108,352 306,989 280
yupo uko uko kenya we mtafute tu
 
mende msafi

mende msafi

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
1,095
Likes
2,026
Points
280
mende msafi

mende msafi

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
1,095 2,026 280
sawa tumejua kuwa upo kenya
 
long live my love

long live my love

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2014
Messages
856
Likes
650
Points
180
long live my love

long live my love

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2014
856 650 180
Umejitahidi sio haba,kufika kenya hongera.
 
DUBULIHASA

DUBULIHASA

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2016
Messages
1,861
Likes
1,892
Points
280
DUBULIHASA

DUBULIHASA

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2016
1,861 1,892 280
Kwani kwa mara ya mwisho wao wamedai alikuwa wapi?
 
Freyzem

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Messages
7,487
Likes
17,659
Points
280
Freyzem

Freyzem

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2013
7,487 17,659 280
Yupo kwao Rombo Mkuu...
 
muhomakilo jr

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Messages
10,762
Likes
4,020
Points
280
muhomakilo jr

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2013
10,762 4,020 280
Kuku kapanda baiskeli,Bata kavaa laizoni...daah jamaa alibamba kipindi chake.
 
mbishi.d

mbishi.d

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Messages
574
Likes
579
Points
180
mbishi.d

mbishi.d

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2015
574 579 180
kaa hukohuko kenya huku hakukaliki
.. au jamaa atakua yupo na ben saanane.
 
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
9,306
Likes
7,315
Points
280
Age
49
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
9,306 7,315 280
Nipo huku Kenya kuna watu wanamuulizia, Mara baada ya kusikia Mimi nimetokea tz,kiukweli cjui chochote kuhusu huyu jamaa
Mkuu kuna habari mbaya huku mitaanai kuhusu yeye na picha hii
1481728911838-jpg.446190

Hii nimeikuta kwenye mtandao ila sina uhakika kama hizi habari niza kweli maana taarifa kamili hazijatolewa
 

Forum statistics

Threads 1,274,140
Members 490,601
Posts 30,502,347