Kumbe wabongo hawamtambui Rosa Lee!?


GadoTz

GadoTz

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Messages
348
Likes
392
Points
80
Age
71
GadoTz

GadoTz

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2014
348 392 80
Nimeshangaa kuona watu wanaulizana huyu ni demu gani anachana namna hii? Ni baada ya Diamond kumpost kwenye kurasa yake ya instagram Rosa Lee.

Mara ya kwanza kumsikia nilitokea kumkubali mno maana ana uwezo wa kuchana na kutumia lugha mbili kwa wakati mmoja.

Nafikiri sio mbaya wadau mkakiona na Nyie hichi kipaji kipya kwenye hiphop ya bongo.

 
mtzmweusi

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
5,246
Likes
3,622
Points
280
mtzmweusi

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
5,246 3,622 280
mbona domo limepinda???au ndo mnaitwa swagaaa
 
The Great Emanuel

The Great Emanuel

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Messages
2,038
Likes
2,788
Points
280
The Great Emanuel

The Great Emanuel

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2015
2,038 2,788 280
Yupo vizuri sema amezidisha uzungu na **** **** nyingi kama lily wayne bana aache ujinga.
 
mjr95

mjr95

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2016
Messages
5,661
Likes
6,993
Points
280
mjr95

mjr95

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2016
5,661 6,993 280
Anazingua tu ajui chochote
 
appoh

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Messages
4,962
Likes
900
Points
280
appoh

appoh

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2013
4,962 900 280
kwenye nyimbo yao ya hola hola napenda anaposema ""niga nipe zinga la ndinga usinipe kibamia """ au kwenye one time anaposema niga usilete nyege acha mambo ya kisenge i dont need your dick i need only maiki
 
mzaramo

mzaramo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2006
Messages
6,363
Likes
4,516
Points
280
mzaramo

mzaramo

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2006
6,363 4,516 280
Uwezo wa kawaida mno.

Ila Team madale watatoka povu kisa baba yao Dimond kamfagilia huyo demu.
 
Msukuma wa dar

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Messages
664
Likes
502
Points
80
Msukuma wa dar

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2016
664 502 80
Anacomfidence ya kuongea chochote
 
mimi mkali

mimi mkali

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Messages
1,803
Likes
1,486
Points
280
mimi mkali

mimi mkali

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2012
1,803 1,486 280
kazidisha Umarekani
ana wazazi kweli huyo demu?wakiskia hayo maneno machafu wanajiskiaje!!
 
P

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
8,263
Likes
10,098
Points
280
P

PAGAN

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
8,263 10,098 280
Chemical atasubiri Sana hapa
 
Machozi ya Simba

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
2,521
Likes
1,442
Points
280
Machozi ya Simba

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
2,521 1,442 280
kama unamkubali nick minaj lazima umkubali huyu, na kama umewahi mkubali nikiminaj au li kimna huyu unamponda ana matusi we ni mnafki

Goma kali hili.....wenye haki ya kulalamika hii ngoma ina matusi ni wale ambao hawaskilizi hiphop ya marekani
 
KWEZISHO

KWEZISHO

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2016
Messages
6,975
Likes
5,561
Points
280
KWEZISHO

KWEZISHO

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2016
6,975 5,561 280
Mbona anatukana? Pumbavu sana huyu!
TCRA hii makitu inawahusi. Fungia mun'ganda fasta. Naona Dangote amefurahishwa sana na hayo matusi. Watu wanataka muziki hawataki matusi!!!
 
Amalinze

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Messages
6,720
Likes
3,574
Points
280
Amalinze

Amalinze

JF-Expert Member
Joined May 6, 2012
6,720 3,574 280
Mbona wimbo mzima umejaa matusi?
 

Forum statistics

Threads 1,273,512
Members 490,428
Posts 30,483,678