Alikiba ameshinda Mtv Ema lakini hakustahili zaidi ya Wizkid!

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
643
844
Niaje wadau.

Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu Alikiba kupokonywa ushindi huko MTV EMA.Naomba hapa nitumie nafasi hii kufafanua kilichotokea ili kuweza kuondoa huu utata.

Kwa mujibu wa Mtv Ema Alikiba ameshinda kwa kura nyingi sana alizopigiwa na mashabiki na wamemtangaza kuwa katika kipengele cha kura nyingi Ali ndio mshindi.

Naomba tufahamu kwamba Tuzo kubwa kama MTV EMA na BET kuna vipengele ambavyo maamuzi yake hayategemei kura za mashabiki bali huamuliwa na wadhamini, majaji pamoja na waandaaji wa Tuzo. Kipengele hiki huangaliwa ni kiasi gani msanii anafanya vizuri katika category aliyowekwa cz inawezekana msanii akakosa kura nyingi lakini anastaili kupata tuzo kutokana na mchango wake katika mziki.

Kipengele hicho ndicho kilichomfanya Wizzy ashinde Tuzo hiyo ya MTV EMA.
Kiukweli MTV EMA hawajakosea katika hilo cz watanzania wengi walimpigia kura Kiba bila kujali team zao lakini kwa viwango vya kimataifa kiba hawezi kumfikia hata Robo Wizkid.

Alikiba alitakiwa kuwaambia ukweli mashabiki zake na sio kulalamika kwenye media kuwa haelewi kilichotokea wakati anafahamu ukweli wote. Kulalamika kwa Ali kutamsababishia picha mbaya na sidhani kama MTV EMA watakuja tena kumchagua kuwania Tuzo hizo katika Category yoyote ile.

Natumaini nimeeleweka japo kwa uchache.
 
Umeongea Pumba Kabisa. Umeonyesha jinsi ulivyo na Mihemuko ya U team Domo. Unajifanya unajua lakini Kumbe ni Kihiyo. Tumewataka MTV watoe ufafanuzi wa Criteria wanazotumia kumpata mshindi. Mpaka sasa wanapepesa macho, Kumbuka Eddy Kenzo aliwahi kuwalalamikia Pia kwa figisu zao. Inshort hizo tuzo kwajiri ya Nigeria na africa.
 
kama kipengele hicho hakitegemei kura za washabiki yanini basi kujumuhushwa kwenye kura?

ni vema wangeli kuwa wanafanya michakato yote huko bila kuhusisha mashabiki na mwisho wamtanzaze mshindi.(kuna walakini)
 
Niaje wadau.

Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu Alikiba kupokonywa ushindi huko MTV EMA.Naomba hapa nitumie nafasi hii kufafanua kilichotokea ili kuweza kuondoa huu utata.

Kwa mujibu wa Mtv Ema Alikiba ameshinda kwa kura nyingi sana alizopigiwa na mashabiki na wamemtangaza kuwa katika kipengele cha kura nyingi Ali ndio mshindi.

Naomba tufahamu kwamba Tuzo kubwa kama MTV EMA na BET kuna vipengele ambavyo maamuzi yake hayategemei kura za mashabiki bali huamuliwa na wadhamini, majaji pamoja na waandaaji wa Tuzo. Kipengele hiki huangaliwa ni kiasi gani msanii anafanya vizuri katika category aliyowekwa cz inawezekana msanii akakosa kura nyingi lakini anastaili kupata tuzo kutokana na mchango wake katika mziki.

Kipengele hicho ndicho kilichomfanya Wizzy ashinde Tuzo hiyo ya MTV EMA.
Kiukweli MTV EMA hawajakosea katika hilo cz watanzania wengi walimpigia kura Kiba bila kujali team zao lakini kwa viwango vya kimataifa kiba hawezi kumfikia hata Robo Wizkid.

Alikiba alitakiwa kuwaambia ukweli mashabiki zake na sio kulalamika kwenye media kuwa haelewi kilichotokea wakati anafahamu ukweli wote. Kulalamika kwa Ali kutamsababishia picha mbaya na sidhani kama MTV EMA watakuja tena kumchagua kuwania Tuzo hizo katika Category yoyote ile.

Natumaini nimeeleweka japo kwa uchache.
Kiba hajalalamika ila pengine hakuwa na uelewa kama ulionao wewe kuwa kuna zaidi ya kupiga kura. Kusema kuwa atafuatilia ni haki yake ili afaham unayoyafaham wewe. Kama majaji ndiyo final say, wasanii wanaoshindanishwa wana haki ya kupata pre info ili wasishikwe na butwaa na kuanza kuhoji why wameshindwa.
 
Hivi tangu lini Kiba aliwahi kukubali kushindwa? Juzi kati Diamond alivyoshindwa huko South africa unakumbuka alisemaje? Alikubali kushindwa akawa anaangalia mbele

Alikiba kila akishindwa ni mtu wa kulalamika,kutafta mchawi na kutaka kuonekana kaonewa.anaangalia sana nyuma.na hiki kipo kwa watu wengi wasio kuwa washindani...

Kwakuwa hao wanaotoa hizo tuzo wapo aitumie management yake ili kufuatlia badala ya kulaumu kwenye media
 
Hujaeleweka hata kidogo.. Kama kura sizingekuwa na nafasi then wasingesema tupige. Kwa akili timamu kabisa iyo ipo wazi kuwa king kiba kafanyiwa figisu kama mlivyozoea! Walisema tupige kura, tumepiga na ameshinda, apewe haki yake sasa
Sio mkuu kura sio kila kitu kwenye hizi tuzo za kimataifa ngoja nikupe mfano hai
Tuzo za mwaka huu za BET kwenye kura diamond aliongoza akiwa na 53% akifuatiwa na yemi alade akiwa na 29% black coffie alikuwa wa mwisho akiwa na 5%
Lakini BET walimtanga black coffie kuwa mshindi.
Kipengele cha kupiga kura wameweka tu ili kuleta msisimko lakini hazina mchango kuamua mshindi.
Mtv ema ni ya europe sasa ukiangalia impact ya wizkid kwa ulaya inajieleza vizuri.
 
mnakumbuka kwenye tuzo za BET alizokuwa nominated diamond nani alikua anaongoza kwa kura na nani alishinda? but wabongo ful kumdis diamond kuwa hakufikia level za kumshinda davido na blak coffee Kwa mambo makubwa ambayo walifanya hao washindi hicho, kwa kutumia dhana hio hio mjipatie jibu wenyewe kwenye tuzo hizi za EMA
 
Naomba niulize, kwanini kwenye website ya MTVema walimweka Ali Kama mshindi??? Halafu baadae kidogo mtvbaseafrixa wakamtangaza wizzie,, je mtvema walikurupuka au?? Maana kwenye ile list ya washindi alikuwepo kasoro kutangazwa officially!
kwenye website walimuweka ally kiba kama aliyepata kura nyingi sio kama mshindi naomba usitupotoshe
 
Hakuna jambo linalonikwaza Kama watu kusema Ali anapenda kulalamika,hana uwezo, ,, kwani hamuoni utata uliopo?? Kila aliyeshinda aliwekewa pink mark,, (hapo tayari cjui majaji, wadhamini wameshatoa final say)) haiwezekani eti wamuweke alikiba kwenye list ya washindi halafu baadae hao wadhamini na majaji waje kusema hafaii,
mpaka kufikia kumueka sehemu moja na washindi eg drake, starboy, bieber manake alikuwa mshindi halali!!
Baada ya kumueka list moja na washindi, mtvbaseafrica (siyo mtvema)wakampost wizkid! Hapa fans WA alikiba wakaanza kulalamika, mtvema walipoona malalamiko yamezidi na fans wana ushahidi walichofanya(mtvema) ni kuhamisha ile pink mark ya ushindi na kuipeleka kwa wizzie,,, hapo ndipo fans wakazidisha complains, haikuchukua muda mtvema haohao wakaondoa ile pink mark kwa wizzie, hivyo kwenye hii category ya bestafrican act haioneshi mshindi ni Nani mpaka sasa!!
Swali langu ni je??? Mtvema wanaweza fika mpaka stage ya kumueka alikiba kwenye website yao Kama mshindi KABLA hao mnaowaita majaji na wadhamini hawajaverify ushindi wake!??? Nyie mnachukulia hili swala kiushabiki lakini mnaacha kuangalia utata uliopo.
 
Umeongea Pumba Kabisa. Umeonyesha jinsi ulivyo na Mihemuko ya U team Domo. Unajifanya unajua lakini Kumbe ni Kihiyo. Tumewataka MTV watoe ufafanuzi wa Criteria wanazotumia kumpata mshindi. Mpaka sasa wanapepesa macho, Kumbuka Eddy Kenzo aliwahi kuwalalamikia Pia kwa figisu zao. Inshort hizo tuzo kwajiri ya Nigeria na africa.
Acha uongo basi kwa taarifa yako tangu mtvema kipengele cha best african act kianzishwe wizkid ndo mnigeria wa kwanza kushinda
Hiki kipengere kilianzishwa mwaka juzi, washindi wa kwanza walikuwa sauti sol, mwaka jana akashinda diamond platnumz na mwaka huu kwa mara ya kwanza tuzo imetoka east africa kwenda nigeria.
Na kipengele cha world wide act kimeanzishwa mwaka jana na diamond ndo msanii wa kwanza kushinda, mwaka huu kachukua wizkid
Msipende kupotosha mambo
 
Chaaa, ww ndiye unapotosha,,kulikuwa na category nyingi ikiwemo 'winners category 'na siyo 'wenye Kura nyingi'kama unavyosema,, kuweni wakweli hata Mara moja tuu,, mnabadilisha story simply because mna chuki na ali
kwenye website walimuweka ally kiba kama aliyepata kura nyingi sio kama mshindi naomba usitupotoshe
 
Mmekuwa busy na kulazimisha wakati mshindi ni mmoja tu na anajulikana kuwa ni Wizkid wa Nigeria full stop.

Mods wanapenda threads za kihivi zinapofunguliwa nyingi au?
Nimewaomba mods wasiiunganishe na mada nyingine ili niwafafanulie mashabiki wa kiba jinsi ushindi wa wizkid ulivyopatikana. samahani kama imekukera
 
Hujaeleweka hata kidogo.. Kama kura sizingekuwa na nafasi then wasingesema tupige. Kwa akili timamu kabisa iyo ipo wazi kuwa king kiba kafanyiwa figisu kama mlivyozoea! Walisema tupige kura, tumepiga na ameshinda, apewe haki yake sasa
Ni wendawazimu huu. Huwezi kuanzisha shindano bila kutaja vigezo vya ushindani. Kama vigezo vingine vya ushindi
Niaje wadau.

Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu Alikiba kupokonywa ushindi huko MTV EMA.Naomba hapa nitumie nafasi hii kufafanua kilichotokea ili kuweza kuondoa huu utata.

Kwa mujibu wa Mtv Ema Alikiba ameshinda kwa kura nyingi sana alizopigiwa na mashabiki na wamemtangaza kuwa katika kipengele cha kura nyingi Ali ndio mshindi.

Naomba tufahamu kwamba Tuzo kubwa kama MTV EMA na BET kuna vipengele ambavyo maamuzi yake hayategemei kura za mashabiki bali huamuliwa na wadhamini, majaji pamoja na waandaaji wa Tuzo. Kipengele hiki huangaliwa ni kiasi gani msanii anafanya vizuri katika category aliyowekwa cz inawezekana msanii akakosa kura nyingi lakini anastaili kupata tuzo kutokana na mchango wake katika mziki.

Kipengele hicho ndicho kilichomfanya Wizzy ashinde Tuzo hiyo ya MTV EMA.
Kiukweli MTV EMA hawajakosea katika hilo cz watanzania wengi walimpigia kura Kiba bila kujali team zao lakini kwa viwango vya kimataifa kiba hawezi kumfikia hata Robo Wizkid.

Alikiba alitakiwa kuwaambia ukweli mashabiki zake na sio kulalamika kwenye media kuwa haelewi kilichotokea wakati anafahamu ukweli wote. Kulalamika kwa Ali kutamsababishia picha mbaya na sidhani kama MTV EMA watakuja tena kumchagua kuwania Tuzo hizo katika Category yoyote ile.

Natumaini nimeeleweka japo kwa uchache.

ni siri ya waandazi ipo haja gani ya kuitisha shindano. Wao wangesema wanao washindi wao na ni vyema wangewatangaza. Hakuna haja ya kusumbua watu kupiga kura ilhali mshindi anajulikana!
 
Back
Top Bottom