Diamond Platnumz ashinda tuzo tatu AFRIMA

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,315
Diamond Platnumz ameibuka na ushindi wa nguvu kwenye tuzo za Afrima 2016 zilizotolewa Jumapili hii jijini Lagos, Nigeria. Muimbaji huyo ameshinda tuzo tatu, Song of The Year – Utanipenda, Best Artist/Duo/Song Of The Year Utanipenda na Best Male Artist in Eastern Africa.

Pamoja na ushindi huo, Diamond pia alitumbuiza wimbo alioimba na Papa Wemba, msanii aliyetunukiwa tuzo ya heshima.

Wasanii wengine waliotumbuiza ni pamoja na Patoranking, P-Square, Falz, Eddy Kenzo, Avril, Simi, Darey, Phyno, Seyi Shay na wengine.

Chini ni orodha ya washindi kwenye tuzo hizo pamoja na picha za ndani ya ukumbi na red carpet:

Artist of the Year
Wizkid

Song of The Year
Utanipenda – Diamond

Album of the Year
Ahmed Soultan

Revelation of the year
Falz

Video of the Year
Dogo Yaro – Vvip

Best African Collaboration
Eddy Kenzo ft Niniola – Mbilo Mbilo (Remix)

Best African Group

VVip

Best African Jazz

Jimmy Dludlu

Best Artist/Duo/Song Of The Year
Diamond – Utanipenda

Best Artist/Duo/Group in African Rock
Mvula

Best Artist/Duo/Group African Ragga & Dancehall
Patoranking

Best Artist/Duo/Group African RnB
Henok and Mehari Brothers

Best Artist/Duo/Group African Hiphop
Stanley Enow

Favourites Award
Phyno

Song writer of the year

Unique Muziki – Uganda

Most Promising Artiste
AmineAub

Artiste/Dou/GroupBand in African Contemporary

Flavour

Best female Artiste in Inspirational music
Naomi Achu

Best Male Artiste Western Africa
Flavour

Best female artiste Western Africa
Aramide

Best male artiste Northern Africa
Dj Van

Best male artiste S/Africa

BlackCoffee

Best female artiste S/Africa

Bruna Tatiana

Best Male Artiste Eastern Africa
Diamond Platnumz

Best Female Eastern Africa

Cindy Sanyu



1478494167796.jpg

1478494179299.jpg

1478494195596.jpg


HONGERA DIAMOND!!
 
Bravo Diamond, tunajivunia kwa kipaji ulichojaliwa na muumba, umeifanya bongo flavor na Tanzania kwa ujumla kufahamika Africa na Duniani, leo wasanii wanaweza kufanya show sehemu yeyote nje ya Tanzania, umekua balozi mzuri kwenye mziki wetu, unakubalika kwa kutumia kiswahili katika nyimbo zako hata unapofanya kolabo na mtu anayezungumza lugha ya kiingereza, zamani wasanii wa bongo waliamini ili ufanye kolabo na msanii mkubwa wa nje lazima uimbe kiingereza ila umekuja kuwaprove wrong. Am real proud of you.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom