Sauti Sol vs Navy Kenzo

sakapambo

JF-Expert Member
May 10, 2015
502
150
1457087799_0812_b.jpg

Sauti Sol ni kundi la muziki la nchini Kenya likijumuisha waimbaji Bien-Aimé Baraza, Willis Chimano na Savara Mudigi pamoja na mpiga guitar wao Polycarp Otieno.

videokamatia.jpg

Navy Kenzo ni kundi la nchini Tanzania linaloundwa na Wapenzi wawili, Aika na Nahreel. Nahreel ni prodyuza nchini Tanzania na ndiye anayetengeneza kazi zao.

Yote ni makundi bora Africa, ila kati ya makundi haya lipi ni bora zaidi?
 
Acha kufananisha Saut Sol na vitu vya kijinga kijinga kutoka Tanzania ambako kuna 1/4 kwenye kale kautafiti.
 
nyumbani kwanza!!!
navy kenzo wanatoa hit song
sauti sol wanafanya mziki mzuri, wanaamini katika kuimba sio kila mziki wao u-hit ila tu waimbe vizuri!

navy kenzo wanafanya hit song, miziki ya dance floor
wafanya biashara pia ya mziki
japo live show hawawezi..
ila wakiendelea kufanya mziki serious, wakafanya hit
natumaini siku moja watakua best group Africa kutokea Tanzania
wanaenda na wakati..wakaze buti
 
Sauti Sol weka mbali na watoto wanajua mziki na mpangilio wa sauti ni wanamuziki haswaa
 
nyumbani kwanza!!!
navy kenzo wanatoa hit song
sauti sol wanafanya mziki mzuri, wanaamini katika kuimba sio kila mziki wao u-hit ila tu waimbe vizuri!

navy kenzo wanafanya hit song, miziki ya dance floor
wafanya biashara pia ya mziki
japo live show hawawezi..
ila wakiendelea kufanya mziki serious, wakafanya hit
natumaini siku moja watakua best group Africa kutokea Tanzania
wanaenda na wakati..wakaze buti
Hizo hit song wanazo ngapi,unaweza kuzitaja ?
 
Back
Top Bottom