Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Moja ya story ambayo inatrend kwa sasa kwenye mitandao mbalimbali ni pamoja na issue aliyoiandika Mwigizaji staa wa Bongomovie na Miss Tanzania 2006 Wema sepetu katika ukurasa wake wa Twitter...
5 Reactions
84 Replies
10K Views
me nisije nkaonekana hater jioneeni wenyewe.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimesikia ati Mwana FA na AY wakishirikiana na wakili wa kujitegemea Albert Msando wanapaswa kulipwa bilioni mbili kwa ajili ya fidia ya kutumia nyimbo za wasanii wao bila ruhusa yao. Sikatai...
9 Reactions
119 Replies
14K Views
Habarini Wadau, Ni ukweli ulio wazi kuwa wapo wanaoitwa wanamuziki hapa bongo ila hawana sifa hizo, kifupi wanalazimisha sana uanamuziki Kiukweli zaidi kama wangekuwepo nchi zinazojua kuchuja...
6 Reactions
310 Replies
29K Views
Emmanuel Mgaya, Maarufu kama Masanja Mkandamizaji akiwa nchini Marekani amekutana na kuzungumza na watoto Sadia na Wilson ambao ni majeruhi ya ajali ya shule ya Lucky Vicent ya jijini Arusha...
17 Reactions
69 Replies
10K Views
Msanii Wa Muziki wa Kizazi kipya anayefanya vizuri hivi sasa na Mkwaju wake mpya 'Got me' Sunday 'Linex' Mjeda amefunguka na kudai kuwa wiki mbili zilizopita alipokea simu ya Msanii na Dj Maarufu...
7 Reactions
100 Replies
16K Views
Zarithebosslady na Diamond Platinumz baada ya msiba wa mama yake Zari mama mkwe wa diamond kuisha hivi punde waamua kwenda kujiliwaza pande za dubai na kupost mavideoz online. watu wengi...
1 Reactions
107 Replies
26K Views
Umofia kwenu wana JF, Ebwana nawaulizia hawa wasanii waliowahi kutamba miaka hyo kwenye fani ya music 1.Ras Pompidou mara ya mwisho kumuona ilikuwa kwenye Tamasha lililoandaliwa na Eastafrika...
1 Reactions
41 Replies
7K Views
Msanii Ferooz Msanii Ferooz ambaye alikuwa kwenye kundi la Daz Nundaz ambaye amewahi kufanya vyema na ngoma kibao kali ikiwepo 'Starehe' amefunguka na kusema Rais wa awamu ya tatu Benjamini Mkapa...
1 Reactions
51 Replies
16K Views
Wakuu mwenye kufahamu umri wa hawa wasanii wetu pendwa naomba atililike hapo chini. 1.ben paul 2.bill nenga 3.Nandi 4.diana nyange 5.dogo janjaroooo 6.ASLAY 7.young daddy 8.chemical...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Muimbaji Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedai ameshatolewa barua na mpenzi wake aliyenaye kwenye mahusiano na endapo Mungu akimjalia atafunga naye ndoa ili kuhalalisha. Shilole amedai kwa sasa...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Nimemsikiliza Akon akitoa speech about rebranding Africa uko Kigali kwenye mkutano wa vijana, natamani sana kila kijana amsikilize kwa makini kabisa hutatoka bure. Karibu.
6 Reactions
19 Replies
3K Views
ZARIthebossLady a.k.a Zarina Hassan a.k.a Zari mke wa msanii mkubwa East Africa Diamond Platinumz ameonyesha heshima kubwa alipokuwa akimkaribisha mume wake Diamond platinumz kwenye msiba wa mama...
5 Reactions
40 Replies
7K Views
Kwa ambao walikuwa hawafahamu ni kwamba Diamond platnum na hawa waliwahi kuwa wapenzi hapo nyuma ...,, kipindi hicho ndo diamond anatokatoka kimziki nyimbo ya ntarejea ni kama walijitabiria haya...
6 Reactions
45 Replies
7K Views
NIKK WA PILI ASEMA WEUSI HAWAUI MUZIKI, AWAHUSISHA ASLAY NA DIAMOND PLATNUMZ . Msanii wa muziki kutoka Kundi la Weusi, Nikki wa Pili amesema anasikitishwa na propaganda za wasanii wenzake pamoja...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Bondia Jeff Horn jana alimchakaza vilivyo Man Pacquaiao a.k.a mzee wa ngumi cherehani ,baada ya pambano akatamba kuwa anataka pambano na bondia Floyd Mayweather . Lakini ukiangalia haraka haraka...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Msanii mkongwe wa muziki wa asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto baada ya kufanya vizuri na wimbo ‘Sizonje’ ambao ulipendwa na watu wa rika zote ndani ya nchi na kimataifa, hatimaye Jumatatu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
WanaJamvi wasalaam, Baada ya mahakama kuu kutoa agizo kwa Tigo kuwalipa 2.1bil wasanii Mwana FA na AY kutonaka na kampuni ya Tigo kutumia kazi zao bila ridhaa yao. Baada ya maamuzi hayo ya...
8 Reactions
79 Replies
11K Views
Ben pol alikua ni moja wa wasanii ambao walikua hawana skendo na alijulikana kutokana na kaz zake nzur tu hakika nilikua namkubali kwan alikua tofauti na wasanii weng wa bongo Sijui nn...
6 Reactions
49 Replies
7K Views
Mtayarishaji nguli wa muziki, Quincy Jones ameshinda kesi ya madai ya Dola za Marekani 9.4 milioni (sawa na takriban Sh20.7 bilioni za Kitanzania) ikiwa ni mrabaha na ada ya kurekodi kazi za...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…