Ben pol umeji aibisha mno

dedon

JF-Expert Member
Jul 6, 2015
1,507
2,058
Ben pol alikua ni moja wa wasanii ambao walikua hawana skendo na alijulikana kutokana na kaz zake nzur tu hakika nilikua namkubali kwan alikua tofauti na wasanii weng wa bongo

Sijui nn kikampata baada ya kipindi cha fiesta kumpandisha snura na kumla denda kwa stage(akat alikua na mpenz na mtt wake wakat huo)

sasaa hv naona amezidi kujishusha kwa kutafuta umaarufu na hz ishu zake na ebitoke kwa msanii wa hadhi yake ni kujizalilisha
juz tena naona wanapeana kiki yy na meneja sijui walimlipa ishu nzima na ebitoke yy ana kanusha

ben pol piga kaz achana na kiki ili ukue ki mziki kipaji unacho wana tunakukubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa, sometimes management inaweza ikakupoteza badala ya kukujenga, inaonyesha management ilimwaminisha akitengeneza maskendo ataboost umaarufu wa muziki wake na kuongeza mashabiki kumbe mashabiki wenye akili tumebaki kumshangaa. Ajiulize mwenyewe huo wimbo wake alioutoa baada ya kiki umefika wapi? Wangapi wanaujua? Je unaweza ufananisha na mafanikio ya Moyo Mashine au wa 'Phone'? Haoni kwamba watu wameacha kufatilia muziki wake now wameconcentrate kwenye skendo zake? Ajitathmini upya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiria na Bongo Fleva inakwenda kupoteza washabiki wengi baada ya uchaguzi mkuu wa 2020.

mafisadi hayana chama
 
Back
Top Bottom