Zari anamuheshimu sana Diamond Platinumz

ObieTrice

Senior Member
Jun 27, 2017
159
154
ZARIthebossLady a.k.a Zarina Hassan a.k.a Zari mke wa msanii mkubwa East Africa Diamond Platinumz ameonyesha heshima kubwa alipokuwa akimkaribisha mume wake Diamond platinumz kwenye msiba wa mama yake mzazi Zari huko Uganda.



haya mambo Hamissa mobeto ataweza au wemasepetu angeweza?​
 
Swala la hekima huo ukanda ni jambo la kawaida japo si wote wanafanya ....Zari ana tamanisha kuolewa na kila mwanaume...yani ana utofauti mkubwa sana na wake zetu....
Kwahiyo ulikosea kumuoa mkeo ?

Binafsi huyo zari msiba wa mama yake alileta usuperstar zaid kuliko kawaida nimejifunza huyo mdada kichwan huenda ana tatizo kubwa .

Dada zake na ndugu wengine walikuwa na uchungu na hata hisia Kali za msiba yeye alikuwa bize na kuteka media
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom