Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,393
- 39,450
Habarini Wadau,
Ni ukweli ulio wazi kuwa wapo wanaoitwa wanamuziki hapa bongo ila hawana sifa hizo, kifupi wanalazimisha sana uanamuziki
Kiukweli zaidi kama wangekuwepo nchi zinazojua kuchuja karama au vipaji vya watu kama USA basi wasingekuwepo kabisa kwenye orodha ya wanamuziki hasa waimbaji.
Mimi nitawataja wachache wafuatayo, ambao huwa hawaimbi ila wanaongea tu, na kama wakiimba basi ujue wameshirikishwa au wamebebwa.
Hao ni:-
1) Tunda man
2) Ney wa Mitego
3) Peter Msechu
Ongezea wengine.