ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,964
- 3,895
Nimesikia ati Mwana FA na AY wakishirikiana na wakili wa kujitegemea Albert Msando wanapaswa kulipwa bilioni mbili kwa ajili ya fidia ya kutumia nyimbo za wasanii wao bila ruhusa yao.
Sikatai kweli ni kosa kisheria kwa maana hizo nyimbo zina hati miliki na mali ya wasanii tajwa, kinachonishangaza ni kiasi cha fedha wanachodai yaani bilioni 2.1 ambacho siyo realistic hata kidogo, kwa maana Ay na FA hawana nyimbo zenye thamani hiyo, na ni wasanii wakubwa wa zamani si kwa sasa.
Wito wangu wajaribu kudai kitu ambacho kina ukweli sio kutaja figure tu ili mradi kwani wote tunajua msanii mkubwa ni mmoja tu Diamond japo na yeye hana wimbo wa bil 2.1.
Msitegemee mistakes za watu kutajirika. Fanyeni muziki uwalipe kama Diamond. Huo utapeli mnaotaka kufanya Mungu anawaona.
Thanks in Advance.