Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wakuu, Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz, amezua utani wa aina yake leo Januari 7, 2025, wakati wa ufunguzi wa hoteli mpya katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Chid Benz alipata Tatizo katika Mguu wake na sasa ni zaidi ya mwaka bado hajapata matibabu yanayoeleweka. Huu mguu wake umeshaanza kutoa harufu Kali inayoashiria Tatizo ndani yake. Kwa bahati...
25 Reactions
125 Replies
10K Views
Richard Norton, mwigizaji, staa katika filamu ya Mad Max, amefariki akiwa na umri wa miaka 75, mkewe Judy Green ametoa taarifa kwenye Instagram. "Nimevunjika moyo, sina maneno nimepoteza kila...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Mmoja wa wasanii wanaounda Kundi la The Mafik, ajulikanaye kama Mbalamwezi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Msanii mwenzake wanaounda kundi hilo Hamadai amethibitisha. Caption: Msanii...
5 Reactions
191 Replies
51K Views
Naelewa Muziki ni biashara lakini kwa upande mwingine ni tunu na utambulisho wa jamii. Wasanii wetu wamekuwa wanatukosea saana na wanaukosea utamaduni wetu. Tumekuwa ni watu wa kurukiarukia...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu, Chawa mnamharibia mama:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh: nyie si wa kumshusha hadhi Rais Samia namna hii. Yaani toka apewe tuzo ya comedy ni huzuni, sasa anatembea na lebo hiyo kwenye kila...
2 Reactions
11 Replies
741 Views
Msanii Nguli na Mfanyabiashara mkubwa duniani wa vyakula. Shishi beibi amekamilisha usajili mpya kuelekea mwisho wa mwaka. NB: Vijana! Uvumilivu ndio silaha kuelekea kufaidi matunda. Usikate...
22 Reactions
135 Replies
8K Views
Siku ya leo nikiwa naangalia mechi ya Barcelona na Girona,nikaona mabango ya kielectronic ya matangazo pale camp nou yakipitisha tangazo la album mpya ya Joe Boy. Nikakumbuka wakati Diamond...
2 Reactions
4 Replies
549 Views
Leo Januari 17, 2024 imetimia miaka 3 tangu kutokea kwa kifo cha Rapa Ilunga Khalifa maarufu kama CP aka Crazy Power a.k.a CPWAA au Mfalme wa Bongo Crunk aliyefariki Januari 17, 2021 Wakati wa...
7 Reactions
65 Replies
5K Views
MUIMBAJI Qaswida Afrika Mashariki na Kati, Abdulhamid Fannan amealikwa kushiriki tamasha kubwa la nyimbo linalotarajia kufanyika Idd Mosi kwenye ukumbi wa Markaz uliopo Bujumbura, Burundi...
1 Reactions
2 Replies
508 Views
Wakuu Kundi la wasanii wanaojlikana kama Samia Kings linaloundwa na Madee, AY na Chegge, limetangaza kufuturisha watoto yatima na wenye uhitaji maalum mnamo Machi 22, 2025. Hafla hiyo inalenga...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Baba mchungaji huyu amefunguka kuwa hayupo katika ndoa kwa sababu ya kufilisiwa na mwanamke. Amesema kwa sasa yupo na Pacome. Tumuombee arudiane na mkewe.
37 Reactions
366 Replies
34K Views
Tumezoea kusikia wasanii wa nchi kama Kenya wakilalamika wasanii wa nje kulipwa zaidi yao lakini hawaiachi pesa iende, Huko Ghana hali imekuwa tofauti, bilionea aliita wasanii watoe burudani...
5 Reactions
52 Replies
3K Views
Binafsi nimependa ushirikiano na jitihada alizozianzisha juu ya kupatikana kwa Roma Amewataka wasanii wote SAA 6 wakutane Tongwe kujadili namna ya kumtafuta na kumpata Roma.. source page yake...
2 Reactions
192 Replies
26K Views
Huyu Kaneirugaba naona kama vile hazijamkaa sawa kichwani! https://youtu.be/geBJ2Qb-ytM?si=W_d1_OSATPupROkp
11 Reactions
19 Replies
1K Views
Habarini, Hatimae baada ya Jackline Mengi kuzungushana na kina Regina mahakamani kuhusu masuala ya mirathi, sijui mwishowe alifikia makubaliano gani na kina Regina na Abdiel Mengi, I think sahivi...
18 Reactions
111 Replies
8K Views
Wakuu 🤣 Mtangazaji wa Clouds FM, Adam Mchomvu asimulia alivyopikwa humu Jukwaani (JamiiForums) wakati akimtambulisha Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa JamiiForums, Maxence Melo kwenye kipindi...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Hii funga ya mwezi mtukufu kwa hawa ndugu zetu mtu anaishi na kimada na kupiga muziki Hata wakati wa Ramadhan imekaaje?
3 Reactions
7 Replies
733 Views
Leo katika pilika zangu za kutafuta rizki nilipita kwenye terminal ya makontena. Nikakuta hizi howo zinasomba hayo makontena na kuyapanga kwenye yard. Hizi gari kama mnavyozijua zinaitwa Howo...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amewasili Accra, Ghana, kwa ajili ya kutumbuiza kwenye sherehe ya kuzaliwa ya bilionea maarufu wa nchi hiyo, Richard Nii Armah Quaye. Kwa mujibu wa Baba...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…