Nimejifunza kitu kwenye biashara ya muziki

Nimejifunza kitu kwenye biashara ya muziki

Night shadow

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
585
Reaction score
1,112
Siku ya leo nikiwa naangalia mechi ya Barcelona na Girona,nikaona mabango ya kielectronic ya matangazo pale camp nou yakipitisha tangazo la album mpya ya Joe Boy.

Nikakumbuka wakati Diamond akitoa First Of All aliifanyia promotion kubwa kiasi kulinganisha na zinazofanywa na baadhi ya wasinii wetu wanyumbani,wengi waliponda lakini leo nimeelewa biashara ya muziki inahitaji zaidi ya beat na mashairi mazuri.
 
Back
Top Bottom