Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,474
21,953
Baba mchungaji huyu amefunguka kuwa hayupo katika ndoa kwa sababu ya kufilisiwa na mwanamke.

Amesema kwa sasa yupo na Pacome.

Tumuombee arudiane na mkewe.
Screenshot_20240306-183022.jpg
 
Tulijua hili lingetokea. Mwamba alionyesha wazi kua yeye ndio kampenda zaidi mwanamke kuliko mwanamke alivyompenda yeye.

Alionyesha wazi kua yeye ndiye aliyekua anahitaji sana ndoa kuliko mwanamke alivyokua anaihitaji. Kwa kifupi tu ni kwamba he was a simp! Women never get along with simps!!!
 
Huyu alishindwa kuwekeza zama zake. Kapata sana hela miaka ya 2015 mpaka 2018... yeye alikuwa Mc mkubwa sana. Na u mc wa harusi ni kazi inayoleta hela nyingi ndani ya siku moja.. ukichanganya kazi za mwezi mzima kupata milioni 10 ni rahisi sana.

Pia standy up comedy amefeli sababu hakuwekeza pia kwenye ujuzi zaidi. Wamekuja vijana wapya wamempita sokoni.

Ma Mc wenzake wana maisha mazuri sababu wanawekeza. Hela hawachezei.

Garab alivyotoboa tu hakurudi nyuma tena.. kila mwaka anajenga appartments tu.

Pia ukiwa na hela hupaswi kuoa kizembe zembe hajaona mfano kwa MC mwenzake Garab mwanamke aliyemuoa yukoje.

Kaoa mhaya mwenzake mtoto wa msomi mambo safi Dr wa udsm.

Mwanamke tu anatoka ukoo wenye connection wa kazi za harusi kubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom