UPDATE: Kuna tetesi label mama inayowasimamia wote inataka kumpa Drake Dola milioni 250 (shilingi bilioni 650+) afunge kesi
Drake na Kendrick wapo chini ya label tofauti-tofauti, lakini label...
Najiuliza kwanini Saida karoli akitoa nyimbo zake zakihaya zinakuwa hit song...Lakin wasanii wamakabira mengine wanashindwa kusikika japokuwa nawenyewe wanafanya mziki wa Asili.
Maana ukimfatilia...
Inadaiwa alikuwa amelazwa kwa Matibabu Muhimbili.
Amefariki usiku wa leo.
---
TANZIA: Aliyekuwa Mtangazaji wa Kipindi cha Mashamsham cha Wasafi FM, Khadija 'Dida' Shaibu, amefariki dunia usiku wa...
Hii ndio list ya wachekeshaji bora wa aina zote katika nchi yetu, yani kuanzia kwa waliofariki hadi waliopo hai. Kama kuna wengine ambao sijawaweka kwenye list basi naomba uwaorodheshe hapo chini...
Watanzania walalamikia kitendo cha Diamond Platnumz kumvalisha mtoto yatima T-shirt yenye rangi ya upinde alipokwenda kutoa msaada kwa watoto yatima
Diamond Platnumz alitoa msaada wa nguo kwa...
Waratibu wa Shindano la Urembo la Miss Ivory Coast Mwaka 2025 wamepiga marufuku matumizi ya washiriki kuvaa nywele bandia (Wigs) au kuongeza nywele bandia katika sehemu za nywele zao
Mratibu wa...
Huyu ni mwanamke wa kipekee sana. Sylvia hana baya. kichwani yuko vizuri. Naamini ningekuwa na wadhifa ningempata.
bahati haipo upande wangu. Huyu dada nimemzimia sana. Rangi yake, upstair dah...
Hongera sana my young brother Marioo kwa kupata mama mkwe wa maana sana. Mama mkwe mwenye jina lake mjini. Mama mkwe hana baya na mtu. Mama mkwe akifa haozi.
Dear Kajala, There's a very very...
Salaam!
Ushauri kwa wale wanaojiita ma-regendary wa bongo wakuu ukweli huu hamtaupata popote na auonaye amwambie mwenzie ,wakuu Game ya bongo ya Muziki na hata sanaa zingine sio kazi au biashara...
D knob
Mike T
Nikki Mbishi
Nikki wa pili
Joh Main I
Lord Eyes
Stamina
Darasa
Baghdad
Godzilla
Chege chigunda
Madonjo
Domokaya
Dol sound(balozi)
Jini kabula
Pasha
Wakuu
DJ maarufu wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, RJ The DJ, ametangaza ziara yake ya muziki inayojulikana kama "RJ The DJ Mama Tour", ikiwa ni sehemu ya kumuunga mkono Rais Samia...
Nilikuwa nasoma kisa Cha mke wa anord yule gwiji wa filamu za mapigano na kijeshi , ambaye walishi na anord miaka 25 ,anakiri kuzaa na mfanyakazi wake wa ndani nimechokaa, na eti anaumia Kwa...
Salute
Jina Bruce Lee sidhani kama ni jina ngeni kwa mtu yoyote mwenye umri kuanzia miaka 100 mpaka 10, hivyo haiana haja kumzungumzia kua ni nani hasa.! Bruce alikua mwalimu wa kung fu na...
Nimetoka kuchungulia kwenye ulimwengu halisia unaoiendesha dunia...nimekuta Rayvanny ana nyota ya upepo.. nafikiri wote mnafahamu nguvu ya upepo ni invisible ila ukipuliza unaweza kupeperusha...
Wakuu,
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz, amezua utani wa aina yake leo Januari 7, 2025, wakati wa ufunguzi wa hoteli mpya katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar...
Chid Benz alipata Tatizo katika Mguu wake na sasa ni zaidi ya mwaka bado hajapata matibabu yanayoeleweka.
Huu mguu wake umeshaanza kutoa harufu Kali inayoashiria Tatizo ndani yake.
Kwa bahati...
Richard Norton, mwigizaji, staa katika filamu ya Mad Max, amefariki akiwa na umri wa miaka 75, mkewe Judy Green ametoa taarifa kwenye Instagram.
"Nimevunjika moyo, sina maneno nimepoteza kila...
Mmoja wa wasanii wanaounda Kundi la The Mafik, ajulikanaye kama Mbalamwezi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Msanii mwenzake wanaounda kundi hilo Hamadai amethibitisha.
Caption: Msanii...
Naelewa Muziki ni biashara lakini kwa upande mwingine ni tunu na utambulisho wa jamii.
Wasanii wetu wamekuwa wanatukosea saana na wanaukosea utamaduni wetu. Tumekuwa ni watu wa kurukiarukia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.