Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Omy haki umenifurahishaga naona domo kaufyata hahahahahaaa Baada ya kumpa za uso naona mondi kaufyataa hahahaaaaa omy hukoseagi ujue Namkubali sn omy ni mstaarab sana mondi umepatikana naona povu...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Mr blue (baisa) atoa ya moyoni kuhusu yeye kwenye game la mzikihttps://goo.gl/5zRRzZ
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Baada ya kuangalia hii list nimejiuliza Je hawa inawezakuwa ndio watu wenye furaha kuliko wote Duniani? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Unajuwa tuache shabikia ujinga kiba na diamond ni akili kubwa vs ndogo milele haziwezi fanana. Tusidanganyane diamond ni sawa ma debe linavuma sana ila ndani hamna kitu ila kiba ni debe lenye...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Takribani wiki saba tangu anyakue zaidi ya Sh. Milioni 500 baada ya kuibuka mshindi kwenye Shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots' 2014, Idris Sultan anadaiwa kubakiza takribani kiasi cha...
2 Reactions
80 Replies
13K Views
Hivi karibuni msanii Diamond Platnumz alizindua bidhaa yake ya Diamond karanga huku akijinasibu na kujitamba kuwa bidhaa ni yake na ananunua karanga hizo kutoka kwa wakulima na kuziboresha kwa...
7 Reactions
35 Replies
8K Views
Msanii Roma mkatoliki akihojiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo EA Radio amesema aliulizwa ni staili ngapi mkewe amempa, akasema kwa kuwa neno style lina herufi nne basi ni staili nne Alipoulizwa...
2 Reactions
36 Replies
8K Views
Celebrity Cover Media 13 hours ago Malia Obama has moved into her dorm room at Harvard University as she prepares to kick off her college career following a gap year. The 19-year-old daughter...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Mwimbaji staa wa nyimbo za asili Saida Karoli ambaye amerejea katika ulimwengu wa muziki baada ya kupotea kwa kipindi kirefu lakini kurejea kwake kumepokelewa kwa namna tofauti baada ya kukiri...
0 Reactions
43 Replies
13K Views
The Nigerian government, through the National Broadcasting Corporation has banned some of Africa’s top songs, including two of Davido’s songs. The cooperation released the list of five songs...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukiona debe linalia ujue limegongwa. Ukiona kelele nyingi ujue maumivu yamekita. Zifuatazo zaweza kuwa sababu za Diamond kulazimisha collabo ya fresh kama jukwaa la Mipasho dhidi ya Alikiba: 1...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Roma hivi sasa si wa mchezo mchezo, anajifua ili kujiimarisha kimwili na kiafya, mambo ya judo, karate, kung-fu, taekwondo na tikitaka ndio mpango mzima.... Nimerudi kutoka Zimbabwe...
3 Reactions
34 Replies
6K Views
Diamond kangusha ngoma mpya akiwa ameshirikishwa na fidq na Rayvany Humo ndani wote wamechana huku diamond akizungumzia baadhi ya story zinazo trend kitaani juu yake Unaweza kuusiliza hapa Sent...
6 Reactions
86 Replies
26K Views
Stand up comedy Bongo imeanza kupata nafasi kwa kasi lakini kuna changamoto kubwa hasa ya kuwa na wachekeshaji mahiri watu kama. Mc pili pili yeye anajitaidi lakini anarudia rudia sana aina ya...
6 Reactions
179 Replies
19K Views
Nilifikiri standards alizoweka Diamond ndo zinatakiwa kuigwa na kila msanii. yaani waanzie alipo Diamond halafu ndo waongeze ya kwao cha kushangaza unakuta msanii...yuko yuko tu hakuna...
13 Reactions
65 Replies
6K Views
Inafahamika kwamba #RomaMkatoliki na #Stamina ni wasanii wenye uwezo mkubwa. Mwaka 2016 walifanya vizuri sana kwenye Fiesta. Hata hivyo, hilo haliwapi mamlaka ya kuchafua Taasisi yoyote...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu Nabarikiwa sana na huyu mtumishi wa Mungu, nyimbo zake zimebeba ujumbe murua. Mwenye kujua historia yake japo kwa ufupi anaweza kunisaidia pengine maisha yake yanaweza kuwa ya...
2 Reactions
29 Replies
15K Views
Hamisa Mobetto amempa mtoto wake jina la Abdul Naseeb. Jina ambalo limeanza kumaliza maswali mengi ya mashabiki ambao walitaka kumjua baba wa mtoto huyo. Jina hilo ni la Babu yake anayeitwa...
6 Reactions
216 Replies
46K Views
Back
Top Bottom