Yuko wapi Roma Mkatoliki? Serikali ya Magufuli imeishaanza madudu ya kuongelea

Adolph Jr

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
5,857
9,343
Katika uongozi wa awamu ya nne tulikuwa na wasanii mbalimbali waliokuwa wanatoa nyimbo za kutufariji wakati wa shida na mihangaiko mfano Roma mkatoliki,Ney wa Mitego na wengine wengi tu..Vipi wako wapi kipindi hiki cha raha za Magu na serikali yake mbona kuna vituko na Maigizo mengi tu ya kuandika wapi burudani ile. ?....au BASATA wamekuwa ma~puppet. ??
 
Kwa kuwa umeuliza yuko wapi, jana ameonekana maeneo ya Mbeya.
 
Anasoma upepo kwanza, huu moto sio wa kinyesi cha ng'ombe ni wa Gesi. Akicheza ataozea Segerea kama Babu Seya, Jk alikuwa humble sana, japo sijui kwanini hakumtoa Babu Seya pia.
 
Huyu jamaa kuna kipindi alingaa sana, sasa hvi sijui kama anaubavu wa kuimba kuikosoa serikali ya awamu hii
 
Back
Top Bottom