Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Na Zawadi B Lupelo Tulipokuwa tukisoma kiswahili mwalimu wetu wa fasihi (kiswahili 2) alipenda sana kutoa tafsiri ya neno mojamoja. Alituambia SANAA ni UFUNDI wa kueleza mawazo yaliyo katika...
10 Reactions
22 Replies
6K Views
Wanamuziki wa Tanzania, Uganda na Kenya akiwemo Ali Kiba, Nandy, Bebe Cool na Nyanshiski ni miongoni mwa nyota 18 wa muziki walioteuliwa kuwania tuzo za All Africa Music Awards {AFRIMA}...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Unafikiri hii staili ya vigodoro inaweza kumpaisha kimataifa na kupata tuzo tena?
0 Reactions
178 Replies
15K Views
Siku za karibun King Kiba aliachia songi lake matata "seduce me" lililopewa hadhi ya kimataifa na wachangiaji wengi wa mitandao ya kijamii huku wachache kati yao hasa wale team Diamond wakiona...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Msanii Ali Kiba alijikuta akivaa nguo za jinsia isiyo yake yaani za kike na kujikuta ametokelezea kama Aunt Asuu, Dan mtoto wa Mama, James Delicious au Bilal Mashauzi. Ali Kiba kama wengine...
4 Reactions
111 Replies
27K Views
Kuelekea pambano la 50 tangu aanze kucheza ngumi za kulipwa akitokea kule kwenye ngumi za ridhaa, namuombea sana mwanangu Floyd Mayweather aibuke kidedea kwenye pambano lake dhidi ya Conor...
7 Reactions
83 Replies
12K Views
habari zenu wadau.. sijawahi kuanzisha thread yoyote kwenye jukwaa hili ila leo imenibidi nianzishe tu maana uvumilivu umenishinda. Hili hit song la sedume me aloimba Ali Kiba sio level za nchi...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wajuzi wa mambo embu nipeni dodoso kidogo, nini kimetokea kati ya maswahiba hawa wawili? Justin Bieber alikuwa shabiki wa damu wa Floyd Mayweather lakini naona ghafla anamchukia Mayweather...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Hii kazi imewaibua watu maarufu hapa nchini akiwemo Makonda na Jakate na na sasa Mkuu Wa Wilaya ya Kinondoni ambaye ameahidi kutoa zawadi kwa Ali kiba kwa kazi nzuri iliyotikuka. Seduce team Domo
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii ipo na ni fact kuwa aliyekutangulia na akawa legend,hata iweje hauwezi kubadilisha ili uonekane ww ndo legend kwa kigezo cha mafanikio. Mfano,Maradona, ronaldo de lima, Gaucho n.k hawa ni ma...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Povu lamtoka moni kuhusu ngoma ya zimbabwe ya roma Rapa moni kaponda Ngoma ya Roma Mkatoliki
2 Reactions
30 Replies
11K Views
Mwanamasumbwi machachari kutoka ufilipino ambaye pia amebatizwa jina la ngumi cherehani na mashabiki wa ndondi kutokea Tanzanian ndugu Emmanuel Dapdrin ambaye pia maarufu kwa jina la Manny...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenzetu yeye skendo za kuiba nyimbo, biti, kukopi na kupesti ni za kila mara Hapo vipi?
4 Reactions
33 Replies
5K Views
Katika uongozi wa awamu ya nne tulikuwa na wasanii mbalimbali waliokuwa wanatoa nyimbo za kutufariji wakati wa shida na mihangaiko mfano Roma mkatoliki,Ney wa Mitego na wengine wengi tu..Vipi wako...
1 Reactions
38 Replies
11K Views
I am Kenyan na naipenda Tanzania sana. Kila siku nasikitika na lifestyle ya watanzania. Wakiamka asbuhi insta kusoma udaku na kupesti jamii forums. Kenya we work hard, naamka asbuhi naelekea...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Ma bibi na bwana nawalika kuja kuangalia video ya mziki mzuri na mtamu toka Asley uitwao Pusha. Hii ndo bongo fleva kuanzia uimbaji hadi beat. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Teh teh teh teh teh teh teh! Huyu jama amebaki anaangalia aimbe staili gani ili walau aendelee kubaki kwenye headline. Muziki mtamu tuliouzoe kutoka kwa diamond miaka ya 2010, 2011...
2 Reactions
90 Replies
12K Views
Back
Top Bottom