Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kama Diamond alimchukia Ali Kiba pamoja na kuwa Kiba alijulikana kama msanii ambaye Muziki wake ni wa humuhumu nchini yaani hauna hadhi ya kimataifa. Itakuwa vipi kwa kitendo cha Kiba kuanza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Malkia wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania mange kimambi amemjia juu diamond platnumz juu ya kumdhulumu mjane malipo ya gari alonunua Kumbe diamond karanga sio za dai wala perfume sio zake...
7 Reactions
116 Replies
20K Views
Kundi la WCB wasafi wameng'ara kwenye tuzo za African Enternaiment Awards USA(Marekani) kama ifuatavyo. •Best Manager of the year-Babu tale •Best Male Artist of the year-Diamond Platnumz...
0 Reactions
75 Replies
15K Views
Msanii wa Hip Hop Fid Q amedai msanii Omy Dimpoz amefanya jambo la hovyo sana kiasi kwamba hadi sasa haupendi wimbo wake wa fresh Ommy Dimpoz alitupia picha akiwa na mama Diamond na kuandika...
6 Reactions
182 Replies
28K Views
Ni baada ya matusi ya Mond kwenda kwa Mobeto akimuita bitch!Naona vijana wakaingia mzigoni kufukua makaburi na hatimaye wakaja na kitu kujibu mapigo ya kauli chafu ya Mondi! Wao wakaamua kurusha...
4 Reactions
63 Replies
8K Views
Bondia mwenye uwezo wa hali ya juu ajulikanaye kama Conor MacGregor au Notorious kama anavyojulikana na mashabiki aliyemshawishi Floyd Mayweather "Unbeaten man" kutoka mafichoni alikokuwa na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Wasanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini, Hamisi Mwinyijuma maarufu kwa jina la MwanaFA na Ambwene Yesaya maarufu kama AY wamezidi kuikaba koo kampuni ya huduma za simu za...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
ACCRA,GHANA:S24xlusive focus on diamond platnumz 1hour back to back hitz song on s24TV,s24stream ACCRA,GHANA. Thanks, ACCRA,GHANA.
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Ni vigumu kuingia na kutamba katika Tasnia ya muziki nchini Tanzania, lakini inadaiwa kuwa ni vigumu zaidi kwa wanamuziki wanawake hususani wasichana. Subira Mwikwabi ambaye ameanza kutamba miaka...
0 Reactions
1 Replies
791 Views
Wadau, Diamond amefanya Remix ya wimbo wa Fid Q wa Fresh kwa kuingiza verse ya rap inayoonekana kamlenga Ally Kiba kutokana na maneno yaliyokuwemo kwenye wimbo huo (usikilize hapa chini). Remix...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Zari mzuri bana,ila wadada na wanawake wengi wanamchukia,wivu au stress ya maisha wanayoyapitia? Kama ni suala la kuhongwa vinono na mond jibu hili hapa
10 Reactions
99 Replies
14K Views
Nimeamini ule usemi "adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake" We jiulize ushawahi kumuona mwanaume anajisifia amezaa na mwanamke wa fulani?unajua kwa sababu gani ?simply ni aibu na inashusha utu...
18 Reactions
71 Replies
13K Views
by Tyler Johnson at August 24, 2017 4:15 pm. Katy Perry and Orlando Bloom broke up after just a few months of dating. They announced the split in a surprisingly cordial joint statement that...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunda unazidi ku shine na uzuri wako unakuwa mara mbili zaidi ya jana kila kukicha Ni ukweli usiopingika kuwa wewe ndiye Cleopatra tuliokuwa tunakusubiri kwa muda mrefu baada ya yule Cleopatra...
6 Reactions
204 Replies
39K Views
Muda sio mrefu Ommy Dimpoz, alimjibu Diamond baada ya Diamond kuimba verse nyingine ya pili. Ommy alipost picha aliyopiga na Mama yake mzazi wa Diamond akichukua uhusika wa baba yake Diamond...
8 Reactions
67 Replies
11K Views
Wakati yuko Tanga mkwenye usiku wa vgoma alipew nafasi na MC ili azungumze machache, pamoja na mengine aliyozungumza nimekwazika sana jinsi alivyoitamka mtwara eti tukitoka hapa Tanga tunaelekea...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Msanii Bill Nas anayetamba na vibao vingi vya mziki kikiwemo Sina jambo, amtolea nje nandy kwa kudai hajawahi kutoka naye kimapenzi na kusema hilo jambo halina ukweli wowote hata watu wake wa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Omy haki umenifurahishaga naona domo kaufyata hahahahahaaa Baada ya kumpa za uso naona mondi kaufyataa hahahaaaaa omy hukoseagi ujue Namkubali sn omy ni mstaarab sana mondi umepatikana naona povu...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Mr blue (baisa) atoa ya moyoni kuhusu yeye kwenye game la mzikihttps://goo.gl/5zRRzZ
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom