Kwanini wadada wengi wanamchukia Zari?

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
278,618
1,128,560
Zari mzuri bana,ila wadada na wanawake wengi wanamchukia,wivu au stress ya maisha wanayoyapitia?
18579604_129099397656680_8019566491324121088_n.jpg

Kama ni suala la kuhongwa vinono na mond jibu hili hapa
18580756_2302287083329210_5577552402984206336_n.jpg
 
Point kabisa
Wengine utakuta ni wivu, chuki binafsi au kwa kuwa ni Star ndio maana..Si unajua watu hawapendi kuona maendeleo ya mtu binafsi kwa hiyo watafanya kila namna kumshusha chini...Watu ni wengi binadamu wachache

Kuna wengine wanaenda mbali kusema ana dhambi ya kuzini ila ukiwaangalia wao life yao zari ana nafuu
Wanawivi tuuuu. walitaka mondi awazalishe wao
 
Zari mzuri bana,ila wadada na wanawake wengi wanamchukia,wivu au stress ya maisha wanayoyapitia?
View attachment 513979
Kama ni suala la kuhongwa vinono na mond jibu hili hapaView attachment 513981

Kwasababu hata wakijitahidi vipi waende wakabanduliwe au wakaibe au wakaloge hata kwa miaka 50 mfululizo bado hawataweza hata kufikia robo tu ya Utajiri wa Kutukuka wa Zari Le Boss Lady.
 
Wivu tu... wengi wameachwa nyuma kimaendeleo... wanatamani wangekua wao... haters siku zote wanajifanya kuchukia walivyokosa... wakiongozwa na mange... mwenzie anakaa kwenye nyumba ye kwenye kifuu chake basi roho inampwita.. ni kweli anajiedit lkn uzuri pia unachangia
 
Back
Top Bottom