Yuko wapi mwanadada Ruby?

Coke Zero

JF-Expert Member
Mar 30, 2015
1,024
541
Mambo zenu wadau,

Ningependa kujua yule mwanadada machachari kabisa aliyetamba na kibao chake cha "Na yule" amepotelea wapi maana naona hasikiki kabisa siku hizi toka alivyotangaza kutoka mikononi mwa Clouds Media, ni kwamba amebuma kabisa kutokana na ukosefu wa promo au bado anajipanga kuja kumshinda Nandy.
8e097712713f37439d513e54514829e9.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom