Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hii ndio tweet iliyozua kizazaa mtandaoni kiasi cha mheshimiwa Lissu kuweka hadharani kuwa hio account iliyotumika sio ya kwake Hii ndio tweet ya Lissu kukanusha uzushi wa kumshabikia kiba
3 Reactions
70 Replies
11K Views
Mwanamasumbwi Conor MCGregor ametamba kwamba lazima amchakaze Mayweather kwa namna yoyote ile ,Conor alienda mbali zaidi kwa kudai kuwa labda afie uwanjani ndo ushindi pekee atakao upata...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari za asubuh wapendwa. Nimekuwa nikiona wasanii mbali mbali ambao siku hizi lazma watafite kiki kisha baadae kutoa wimbo. Hii ni moja ya mbinu ya pekee wanayoona ni rahisi kuvuta attention ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
I like the guy ni mtangazi mzuri sana anaijua kazi yake vilivyo. Though ana mambo yake mengine huwa sielewi but all ina all yupo vzr kwa watangazaji wa EATV. Karibuni mwenye mtazamo kama wangu au...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
Happy Birthday Carry Ila uache kututusi WCB sawa katoto kazuri[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
2 Reactions
85 Replies
13K Views
Good News nyingine kwenye muziki wa Tanzania baada ya Waandaaji wa All African Music Awards ‘AFRIMA’ wametangaza list ya wasanii wanaowania tuzo katika vipengele mbalimbali kwa mwaka 2017 ambazo...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
92 Replies
17K Views
Haya ni maoni ya rafiki yangu Benson Tembo ambayo nakubaliana nayo kwa 100%. ____________________________________ Ali Kiba na Diamond ni sawa na sukari na chumvi au chumvi na sukari, (vyovyote...
20 Reactions
53 Replies
6K Views
Sherehe inaendelea nyumbani kwa Diamond mida hii Kideo(below) Babu Tale jana usiku akisema Bi harusi mtarajiwa... Update Snapchat video ya kunusisha tukio.. nakutana nazo nawaletea
8 Reactions
167 Replies
35K Views
Baada ya kufurahishwa na mafanikio makubwa ya wimbo wa nakwenda zimbabwe,mke wa roma atoa ahadi kubwa kwa mumewe kupitia mtandao wa insta
3 Reactions
87 Replies
12K Views
Msanii Jux ambaye ni mmiliki wa duka linalo uza nguo za 'brand' yake ya 'African Boy', ametoa sababu iliyofanywa duka hilo lipitiwe na bomoa bomoa, katika eneo la Sinza jijini Dar es salaam...
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Habari zenu wadau, Nianze na kilichonileta hapa,,, Diamond platnumz unatakiwa ujue kuwa kwasasa una deni kubwa sana kwa kinachoendelea sasahivi na huu upepo wa TSUNAMI wa SEDUCE ME ya KING...
7 Reactions
56 Replies
17K Views
Kwa wiki nzima hii ukifuatilia kinachoongelewa katika mitandao ya kijamii na kwenye vipindi vya burudani ni ugomvi unaowahusisha Diamond na Alikiba, yote ikianza baada ya wimbo wa Fid Q...
6 Reactions
23 Replies
6K Views
Producer wa Ali Kiba Man Walter amedai akihojiwa kipindi cha Planet Bongo amedai waliosikia Ali Kiba katoa nyimbo kisha na wao kutoa ilikuwa ni panic na povu Amesema wao wanaangalia ni ngoma ya...
8 Reactions
12 Replies
4K Views
Akihojiwa na Planet Bongo,msanii Ali kiba amesema nyimbo ya #Seduce #me ilitengenezwa miaka 2 iliopita katika studio ya Combinenga. Ali kiba akiwa na Man Walter Ea radio amesema mashabiki wake...
13 Reactions
122 Replies
23K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Yule mkali wa bongo, mkali wa sauti king kiba, kaachia ngoma ambayo haitamwacha mtu salama ngoma inakwendwa kwa jina joho tena Hii ngoma ni noma mazee naona...
0 Reactions
65 Replies
15K Views
Kumekuwa na malalamiko mengi san kutoka kwa mashabiki wa wcb wakidai kuwa diamond pmoja na team yake anafanyiwa figisu na watanzania ili ashuke na sababu kibao je iz story zina ukweli au ni ndo...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari za muda huu wapendwa, naomba mnisaidie mnaojua kiswahili vizuri, kuna seem kwenye wimbo mpya wa alikiba anasema kapewa majina mengi, wanamuita kipusa, na mimi naelewa maana ya kipusa ni...
0 Reactions
15 Replies
13K Views
Habari za jumatatu wanajamii. Kiukweli mimi ni mshabiki mkubwa sana wa diamond tena shabiki wa dam. Nimejisikia vibaya sana kuona asilimia kubwa ya wasanii wanamchukia diamond na si kwasababu...
24 Reactions
67 Replies
8K Views
Neema zinazidi kumiminika nchini Tanzania baada ya #Zilipendwa kutoka Hollywood kuja nchini Tanzania kutalii. Hakika wale ambao sio #Zilipendwa hawawezi kujua namaanisha nini. Miaka hiyo kwenye...
16 Reactions
85 Replies
23K Views
Back
Top Bottom