Saida Karoli Ft Belle 9 & G Nako - Kichaka

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Msanii mwanamama Saida Karoli amerudi kwenye game vizuri baada ya kuachia wimbo wa Orugambo, sasa amekuja na wimbo mpya aliowashirikisha vijana wa bongo fleva. Pamoja na yote Saida hajasahau aina ya muziki uliomtambulisha kwenye game wenye mahadhi ya kihaya.

Hongera sana.
 
Nashauri wasanii waachane na G Nako kumshirikisha, jamaa hachelewi kukufunika kwenye songi lako mwenyewe!
 
Hii nayo muipe promo na kile kidada kimaumbau kiungane kumuinua mwanamke mwenzake hapa ndio tutaona unafiki wao
[HASHTAG]#huyumama[/HASHTAG] ni iron lady sio kwa sauti hii na umri huo hongera saida wetu miriam makeba wa Tanzania.
 
Wewe chuki zitakuua
 
G Nako licha ya kuwepo kwenye game kwa muda mrefu hapotezi ubunifu alionao...jamaa ana madini mengi sana tofauti na wasanii wengi wa kibongo kila wanavozidi kuwa maarufu na ubunifu wanapoteza sifa zinawalevya...Kila siku naona ana njaa zaidi ya aliyoionyesha miaka 10 nyuma!
 
Back
Top Bottom