Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

"Diamond ni daraja la kiba, Diamond platinum "Simba" anajitahidi sana, sana tena sana kumvuta Kiba awepo kwenye game lakini Kiba nadhani hajagundua jambo. Diamond kama asinge mtupia dongo Kiba...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya Diamond platnumz kupiga mkwanja zaidi ya Billioni moja kutangaza kinywaji cha Blairrre
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Hii Sura Jamani Ya Nillah Mbna Si ya Ki Almas Almas.. Na Why Diamond Huwa Hampost Sana Toto lake La kiume kama Alivyokuwa anakesha Na Tiffah Mapicha kila Saa
8 Reactions
152 Replies
27K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa Husika na kichwa ha habar hapo juu Yule dada yetu mkali dada mtata komando la kivita anayejiamin na asiye tishiwa nyau yupo mbion kuachia ngoma mpya ambayo...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Usije kuyavamia ,yasije yakakutesa hawachelewagi kukimbia,kuna wenzako wanalia. Walizani mapenzi pesa kwenye suruali vibamia.,Hata ukimuhonga Ferrari hatokuona rijali,wakati chumbani we beki...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Sent using Jamii Forums mobile app =============== Taarifa Zaidi Jamaa amepatikana, aliandika kwenye account yake ya Instagram kuwa alikuwa bagamoyo kwa kazi zake binafsi
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Bwana Yesu apewe sifa.... Ule msemo usemao kelele nyingi zina mshindo mkuu...hatimaye mwimbaji pendwa wa nyimbo za injili Tanzania Kama(upendo wa kweli na siku moja) Ambwene Mwasonge ametangaza...
16 Reactions
191 Replies
46K Views
Who's feeling Cardi B right about now? The chick is hot. She can spit. And her thick Hispanic accent is delectably catchy. Looks like she's a hard worker and I love me some hardworking females...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Wanabodi nawasalimu kwa heshima. Naomba nitoe pole kwa wanajamvi wote kwa mihangaiko ya hapa na pale. Pili naomba niwaeleze serikali yangu kua kila senti wanayolipwa hawa vijana wetu wailipie...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Muda mfupi tu uliopita wakati Muwasilishaji katika Kongamano la ' Fursa 2017 ' linaloendelea sasa Mkoani Morogoro Msanii na Msomi ' aliyetukuka ' Nikki wa Pili amesema kwamba amevutiwa mno na...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Baada ya kutamba na kibao chake kipya 'Seduce Me', msanii AliKiba alipata fursa ya kubadilishana machache na Kwanza TV. Mahojiano kamili iko hapa: Kwanza TV - itaendelea kukuletea mahojiano...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari wadau Kwa wanaopenda movie za Italian Mafia au 'Wiseguys' watakuwa wanafahamu angalau moja ya filamu nilizoziorodhesha hapo juu Mwigizaji mkongwe wa filamu hizi Frank Vincent amefariki...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Habari zaenu Kwa kipindi kirefu Mwanaharakati wa Mitandaoni na kada wa zamani wa CCM Mange kimambi amekuwa akimuandama sana Mwanamuziki Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platnumz na Mama watoto wake...
5 Reactions
75 Replies
16K Views
Siku zote awa vijana wawili kutoka wcb napenda kuwasikiliza. Lakini mpaka leo nimeshindwa kung'amua nani anamzidi mwenzie. Leo naweza ona Ray mkali zaidi, kesho Hamo nae nikamuona zaidi. Sasa...
0 Reactions
29 Replies
16K Views
Tizama hapa kinachosadikiwa kua mwanzo wa marudiano ya wawili hawa. Ni baada ya Vanessa kushinda jiwe bora la mwezi linalotolewa na clouds FM na kumuomba JUX kupanda nae stegin. Mahug kibao na...
2 Reactions
46 Replies
8K Views
Nipende kumwambia harmonize abadili mtindo wake wa kuweka brich kwenye nywele zake yaan awe na nywele zake tu ndo anapendeza zaidi[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Natamani kuona na sisi tunakua na wasanii hata watano tu kutoka Tollywood na BongoMusic watakao tusumbua kwa mali zao walizochuma kwenye sanaa yao, Ila najiuliza tutafika lini level hizi za...
2 Reactions
38 Replies
12K Views
Uku kukiwa tetesi na vithibitisho kuwa msanii namba moja Afrika Mashariki Diamond Platinumz amekula tunda la mshindi wa Big Brother Africa 2013 Dillish Mathews uko Zanzibar. Boss lady Zari Hassan...
3 Reactions
154 Replies
28K Views
:cool:
1 Reactions
41 Replies
10K Views
Back
Top Bottom