Nimeona ni muda sasa mange kimangi amekuwa front line kwa kumkosanisha diamond na mashabiki,
imefikia kipindi naona siyo hates kama shabiki bali naona kama kuna kitu kimejificha ambacho kwa sisi...
huwa namuadmire sana mzee wa mafursa hapa nchini ruge wa clouds.naomba mwenye namba yake anisaidie kuna bonge la fursa nataka nikae nae tulijadili.
pia kama yupo humu anipm
Hii video chini inaonesha maisha halisi ya Yusuph Salim Bakhresa , Na Mali anazomiliki ndani.
Magari ya kifahari zaidi ya 20 ndani, Na mengine jionee
Pamoja na hayo aliwahi kusomeshwa namba na...
Aman iwe nanyi wakuu katika bwana
Kwanza nikili waz kuwa huyu dada grace anajua mziki na anajua anchokifanya, mimi kama shabiki mkubwa wa grace nimeamua nije kuanzisha uwanja wa wale wote...
1. Diddy - $130 million
2. Drake - $94 million
3. JAY Z - $42 million
4. Dr. Dre - $34.5 million
5. Chance the Rapper - $33 million
6. Kendrick Lamar - $30 million
7. Wiz Khalifa - $28 million
8...
Huwezi ukaamini ndugu yangu kumbe Lowassa alianza haya mambo siku nyingi na ndio sabab Nyerere alikuwa hamtaki. Inasemekana Lowassa aliagiza transformer iweke pale PPF Tower pasipo ridhaa ya wenye...
Njiwa atua kwenye meza ya wagombea na kuzua tafrani
AMINA KINGAZI, KOROGWE
KATIKA hali isiyo ya kawaida njiwa amezusha tafrani ya aina yake, baada ya kuvamia ukumbi wa uchaguzi wa...
Habari mbaya kwa wapenzi wa country musics ni kwamba yule mkongwe wa nyimbo hizo ajulikanaye kama Don Williams amefariki Dunia. Don amefariki baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Allifanya kazi yake...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Yule rapa mkal na mtata kunago game la hiphop anayetokea pande za state kule anakoish mshikaji wangu nyan ngabu...
Habari zaidi!
Dk. Slaa azua kizaazaa
John Mhala, Arusha
Daily News; SUNDAY,July 13, 2008 @06:01
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo ya Karatu, Dennis Shayo amemwomba Jaji Kiongozi...
Hawajama wako so close kuliko tunavyofikiria ..hakuna video hata moja ya mond ambayo hayumo harmonize .. nikijana pendwa kwa boss wake ... wale wenye ndoto ya konde Boy kutoka wcb imekula kwenu...
Habari zilizotufikia zinasema kampuni ya ndege ya atcl inawea kurudishiwa kuanza kurusha ndege zake tar 24...chanzo chetu kutoka TCAA kinasema
katika makabrasha yanaletwa kuna baadhi imeamuliwa...
Heshima Mbele,
Habari ambazo zilinifikia jana usiku ni kwamba,aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Lowassa(MB) ameelekea Israel na bethelehem kwenda kuhiji na kujisafisha ili aje aanze upya na...
Live toka hapa Dodoma . Sitta kwa mara nyingine amezima issue ya kutaka hoja iende Bungeni kwa kusema anashauriana na Serikali na anatatoa majibu baadaye . Hii ni baada ya wapinzani kuanza kuibana...
Add me as a contact on YouTube.
Kwa watumiaji wa YouTube sasa kuna feature mpya ambapo unaweza kumtumia mtu video ndani ya YouTube,
Unaweza kubonyeza hapo juu kama umeshajisajili youtube
wadau kuna mshikaji mmoja anaitwa Billy Sepenga huwa anakuwa na Sam Misago kwa dakika kadhaa kwenye kipindi cha FNL eatv kila ijumaa usiku. je huyu jamaa ni nani? nimeanza kumfahamu siku hizi.
Rappa Nikki wa Pili kutoka kundi la Weusi ameweka wazi na kukiri aliamua kuokoka baada ya kutoka mtaani na kurudi shuleni baada ya matokeo ya awamu ya pili (Second Selection) kutoka na kumrejea...
Katika hali ya kustaajabisha mrembo wa dar anayetisha kunako choo ametupia katika ukurasa wake wa snapchat akiwashukuru kigali kwa kumuingizia $10,000. Jamani kwa umbumbumbu wangu mwenye kunijuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.