donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Salaam wakuu,
Aisee huyu mwanadada(mama) back in,days alikua moja ya wasanii hot sana kwenye maigizo ya televisheni ila mara paap akapoteaga. I wonder kama kuna mkuu ana fahamu alipo kwa sasa n whether anaendelea na kazi za sanaa ama vipi