Katika hali ya kustaajabisha mrembo wa dar anayetisha kunako choo ametupia katika ukurasa wake wa snapchat akiwashukuru kigali kwa kumuingizia $10,000. Jamani kwa umbumbumbu wangu mwenye kunijuza...
While browsing and surfing on the internet, I came across these fascinating photos of this kid from Dar es salaam. Fresh, cute and full of swags is what caught my attention from this little...
Salaam jf
As usual wazazi mwenza wa mondi bin laden aka chibu dee aka simba baba Abdul,au baba latifa Leo wameendeleza drama na kutuacha wambea wa snap chat name IG hooii baada ya Mama watano...
Mwanamuziki wa kizazi kipya TID maarufu kama ' mnyama' amesema panapo uhai mwaka 2020 atagombea ubunge katika jimbo la Kigamboni kupitia chama chake cha sasa CCM. Source EATV habari!
Washindi wa Tunzo ya Kimataifa ya "Malkia wa Nguvu" kwa umoja wao wamemtumia salamu za rambirambi The Boss Lady Mrs. Diamond Chibu kwa kufiwa na mumewe wa zamani Ivan.
Kiasi cha rambirambi...
Mwanamke raia wa Burundi wa kabila la Kihutu aitwae Jesca amempa wiki moja msanii wa muziki maarufu nchini Tanzania Diamond platinumz siku mbili awe amepeleka pesa za matunzo na watoto wake...
This guy is a business genius. At the rate that he is going he could very well be hip-hop's first true billionaire.
He is once again the highest paid hip-hopper while his once upon nemesis and...
Kuna wasanii mimi binafsi nawakubali sana lakini sijawahi jua sababu za wao kutopata umaarufu wanao stahili.
Wasanii hao ni..
1. Niki Mbishi
2.Cliff Mitindo
3.Rogers(BSS)
4.Grace Matata
5.Steve...
Rapa B.o.B wa nchini Marekani hivi karibuni ameanzisha kampeni ijulikanayo kama "GoFundMe" ikiwa na dhumuni la kuudhibitishia ulimwengu kuwa dunia ipo flat na si mviringo kama ambavyo wanasanyansi...
Dar es Salaam. Mashabiki wengi wa muziki nchini bado wapo katika sintofahamu juu ya sababu ya kuvunjika kwa kundi la Yamoto Band, mwanamuziki Mh Temba ametoboa siri hiyo.
Tangu kusambaratika kwa...
Msanii wa Bongo Mh. Temba amedai kuwa chanzo cha kundi la Yamoto Banda kusambaratika ni baada ya watu wenye fedha kuingia kati.
Temba ambaye alikuwa msamamizi na mmoja ya waanzilishi wa kundi...
Kevin Hart, ni American actor, alikutwa na skendo ya kumpa mimba binti mwingine wakati mke wake akiwa ni mjamzito.
Mke wake amejua, na jamaa akaomba msamaha kwa familia yake pamoja na fans wake...
Msanii wa muziki na Mkurugenzi wa kundi la Radar Entertainment, TID ameingia kwenye mgogoro na rapper Billnas aliyekuwa member wa kundi hilo kabla ya kutimkia katika label mpya ya ‘LFLG’.
Mapema...
SIKU chache baada ya baba mzazi wa mtoto wa mwanamitindo, Hamisa Mobeto, kujitokeza hadharani na kukiri mtoto ni wake, ghafla, katika hali ya kushangaza zikasambaa picha mitandaoni zikimuonyesha...
MALKIA wa Filamu za Bongo, Wema Sepetu amenaswa LIVE akiwa na mwanamme anayedaiwa kuwa ni bwana wake mpya. Wawili hao wamenaswa wakijiachia tena mchana kweupe peee huku Wema akijibebisha kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.