Tarehe 2/10/1989 Alizaliwa NASSEB ABDULLY JUMA a.k.a Diamond platumz simply unaweza muita Diamond! Kijana kafanya makubwa mengi ambayo hapa siwezi kuyasema kwasababu yanafahamika! kwa Lugha...
"UNTOLD BITTER TRUTH ABOUT 'HALLELUJAH' BY DIAMOND PLATINUMZ.
Karibu tuandike Within principles, Karibu to-unlock the locked story about "Hallelujah.
VIDEO.
This is unlock-truth about...
Ule wimbo ya Young Killer aliyomshirikisha Hamornize "Unaionaje" umepata dislikes nyingi saa kuliko likes
Hivyo Young killer amejitengenezea histora nchini, ndio msanii wa kwanza kupata dislikes...
hello
i have been a fan of chris breezy lkn nowdays naona jamaa cjui crack inamchanganya yani chris brown kwa ninavyom-respect sio mtu wa kupiga kolabo na fala kama kodak black kwenye ile nyimbo...
Tunaisoma namba eeeh... Si alisema atafanya pati kubwa akifika 30? Mbona kafanya pati ya nyumbani na siyo hyatt level 8?? This time hata passo hakuna.
Wakati huohuo zari yeye kanunua benz mpyaaa
Dr Kumbuka mwanaume anayechamba kama mwanamke, mwanaume huyu ni
Presenter wa Times Fm, anamaneno kuliko wanawake wa uswahilini, usoni kajipiga kitaulo (Mkorogo).
Michambo yake inafundisha zaidi...
Nimekuwa nikiangalia mambo yanayopositiwa kwenye ukurasa Wa instagram Wa Mama Diamond pamoja na Lugha inayotumika haviendani na Mama huyu hasa kwa umri wake!!! Sasa huwa najiuliza ni nani...
Wanajamvi leo picha za harusi ya Zamaradi Mketema aliyekuwa mpenzi wa Ruge bosi wa Clouds media akiolewa na bwana mwingine zimeenea mtandaoni.
Cha ajabu nimezungukia page za vijana wa kunyapia...
Aliyekuwa mpenzi wa Ney wa Mitego ambaye pia ni muigizaji wa filamu hapa nchini ,mwanadada Salma Jabu (Nisha)hatimaye afunguka hadharani kuwa anakesha akiomba usiku na mchana ili apate mume...
Kabla ya kutoa Zilipendwa alikuwa amemaliza kutoa nyimbo mbili Fire na Eneka ambazo hata hivo zilichukua siku chache kabla ya kuexpire.
Kana kwamba hiyo haitoshi, Siku Mona baada ya Ali Kiba...
Torture numbers and they will confess to anything, Hatuwez kukubali kuwa victims wa numbers wala hatuwezi kuogopa numbers.
Kwenye Top100 hundred Songs duniani za Itunes charts East Africa...
Michael Jackson sued by Arab sheikh in UK court
11/17/2008 4:00 PM, AP
The son of an Arab monarch took the King of Pop to court Monday, charging that Michael Jackson took $7 million as an...
MTANGAZAJI maarufu wa televisheni Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’ ambaye hivi sasa ni mjamzito, amesema atapenda siku yake ya kujifungua ikifi ka, awe mubashara katika Mtandao wa Kijamii wa Instagram...
Diamond Platnumz ni mwanadamu ana madhaifu yake kama alivyo binadamu yeyote yule. Lakini katika picha kubwa na kimuziki huyu ndugu yetu anaiwakilisha nchi vyema sana huko nje.
Nadhani hili ndilo...
Na kweli wewe ni star mpaka inatokea watu zaid ya kumi kukuzungumzia ndani ya muda mmoja sehemu tofauti tofauti.mpaka mimi kukuanzishia thread na kuna thread kibao kuhusu wewe ndani ya week hizi...
Habari za kunyapianyapia kutoka katika viunga vya mitaa ya kariakoo zinasema msanii huyo anayeamini kuwa yeye ndio bora yupo mbioni kuachia collabo lake na msanii huyo wa kutoka huko duniani...
Ray Ameamua kufunguka na Kusema Haya: "Kiukweli huwa naumia sana ninapoona mastaa tunatumia muda mwingi kulumbana na kugombana kwa mambo ya kipuuzi sana,mastaa wenzetu wa Nigeria wanatushinda kwa...
Habar zenu wanajamvi
Nimekua nikijiuliza sana bila majibu mbona Beka flavour hayupo katika tamasha hili la fiesta,
Kwa anayeweza kufahamu sababu tunaomba atusaidie kutujuza kinachoendelea...
Ni leo hii kupitia akaunt zao za instagram wamerushiana maneno makali huku kisa ni kikiwa ray c kuingilia penz la ruge mutahaba na zamaradi ambao kwa pamoja wamefanikiwa kupata mtoto mmoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.