Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

MFANYABIASHARA maarufu wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ mchana wa leo Jumamosi alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City alipokwenda kuzindua duka jipya la samani, Danube. VIDEO...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Mabinti maceleb wa kitanzania wanatakiwa kujifunza kutoka kwa Zari. 1) kuwa na mahusiano kwa malengo 2) kuzaa kwa malengo 3) kujua kutumia fursa ya mwanaume uliye naye. Leo mtu anatoka anandika...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Mambo vipi wadau. Mimi naitwa Snitch2020 Katika pita pita yangu kwenye motandao nlikutana na video ikimuonesha Gigy akiclaim kuwa Kuna nywele alizinunua M6. Kiukweli imenishangaza ana lakini baada...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari, Msanii wa mziki wa kizazi kipya aliyetamba na wimbo wa Nitarejea alioshirikishwa na Diamond, Hawa Said ameangukia mikononi mwa wachungaji wapiga dili ili wamuombee baada ya kuathirika...
4 Reactions
36 Replies
51K Views
Calisah amethibitisha yeye anatoa huduma ya kuzalisha wanawake wenye Pesa, kwa sababu wanawake wengi wanapenda alivyo handsome Kwahiyo mbegu yake ni dili. Kwa mwanamke unayetaka mnakubaliana...
0 Reactions
60 Replies
15K Views
Sema korede bello kidogo amvue kofia mdogo wngu harmonize, maana kanaimba kama hakataki lakini shughuli yake sasa ni mtafutano. But all in all very fantastic song, congrats sana mdogo wangu...
0 Reactions
55 Replies
9K Views
Mama watoto wa Mwanamuziki Diamondplutnamz, Zari. Mchana wa Leo alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City Jijini Dar es salaam ,alipokwenda kuzindua Duka jipya la samani, Danube...
10 Reactions
157 Replies
22K Views
Habari wanafamilia JF. A couple of days back, I was watching some local news streams... nikawa namuona several times... and I was like ooh huyu binti why nisim-link to BBC Swahili or MTV Base S.A...
4 Reactions
147 Replies
26K Views
Mashabiki wa Diamond platnumz hawataki mahusiano yao na zari yaishe, Hii imethihirika baada ya mashabiki wa diamond kumuombea msamaha kwa zari alipokua GSM mall. Lakini naona kama Zari...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nazungumzia wasanii wa hapa Tanzania, je ni msanii yupo hata mkutane porini mkiwa huwezi kutamani hata kupiga nae picha!? Kwangu Mimi. Rich Mavoko Harmorapa Harmonize Dimpozi Queen Darleen...
0 Reactions
82 Replies
8K Views
TAZAMA Mwenyewe Zari The Boss Lady Ilivyokuwa Shangwe katika uzinduzi wa Mall | Dar Es Salaam
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Msanii wa muziki wa Injili, Emanuel Mbasha ambaye wengi humsifia kwa utanashati wake, amesema anamshukuru Mungu kwa kuonyeshwa kupendwa, baada ya mabinti wengi kumtamani kimapenzi. Akiongea na...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
habari wadau. mimi ni shabiki mkubwa wa diamond platnumz.. na wcb kwa ujumla.. kuna mtu hasikiki sana anaitwa mwarab fighter.. huyu jamaa anajua sana kutimiza majukumu yake.. niliangalia video...
16 Reactions
45 Replies
11K Views
Habari wadau.. Zari kaja Tanzania kuzindua duka la gsm.. Ushauri tu kwa diamond na wcb management.. mtumie hiii fursa kupata kiki na kupiga hela... Nawaza tu kama diamond akaenda mcity leo na...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Ni kweli anaolewa mwezi ujao na siku ya posa ilishapita zamani, Anaolewa na mwanaume wa kenya mombasa, nakutakia majukumu mema kwa ndoa yako. Magume gume yamebaki mtaani khaaa!!!!! Jina lake...
22 Reactions
242 Replies
45K Views
LIVE Ben Pol VS Juma Jux Fiesta | Mbeya Warning:- Video Haina Quality nzuri
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mambo vipi wadau? Leo asubuhi wakati nawasha redio nikasikia wimbo mpya wa Aslay unapigwa Clouds. Baada ya wimbo kuisha nikasikia Fredwaa akisema kuwa Dogo amesajiliwa kwenye Lebo ya Alikiba...
2 Reactions
50 Replies
24K Views
Nimekuja Dar kwaajili ya Danube sio Diamond – Zari
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Mapokezi Ya Zari The Boss Lady leo | Airport kama Ifuatavyo
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Mdogo wa Jokate niliyosoma nae ambaye nipo nae sawa kiumri yeye anamiaka 30, lakini dada mtu ana miaka chini ya 30. Hakika haya ni maajabu
21 Reactions
176 Replies
35K Views
Back
Top Bottom