Wema Sepetu: Sitarudi CCM

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,513
wema2.png

Malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu amemwambia muigizaji mwenzake wa filamu ambaye ni kada wa CCM, Steve Nyerere kwamba hana mpango wa kurudi tena CCM.

Wema amesema hayo baada ya kuona ujumbe wa Steve Nyerere kumpongeza Alberto Msando kwa uamuzi wake wa kukihama chama cha ACT Wazalendo ya kwenda Chama Cha Mapinduzi, CCM.

“HAHAHAHAHAHAHAHAHAHA SASA UTAKUWA MZALENDO WA KWELI , MSANDO NAESHIMU MAAMUZI YAKO MAANA NI MAAMUZI SAHIHI, KWAKO PAMOJA NA FAMILY YAKO , RAFIKI ZAKO NASI TUPO PAMOJA NAWE, SOON NA YULEEEEEEEEE RAFIKI YETU , DADA ETU , MSANII MWENZETU , NAYE YUPO NJIANI KURUDI NYUMBANI, COMING BACK TIVU , WELCOME MSANDO,” aliandika Steve Nyerere.

Baada ya kauli hiyo, Wema Sepetu aliamua kuweka mambo sawa juu ya kauli hiyo huku akidai kwamba hana mpango wa kuhama Chadema na kurudi CCM.

“I hope hauniongelei mimi… Maana mawazo hayo sina,” aliandika Wema Sepetu.

Muigizaji huyo alikihama chama hicho baada ya kudai kuna mambo ambayo hayaendi sana ndani ya chama hicho.

Muungwana
 
Anafikiria ni yeye tu anaweza kuitwa mdada.. anajijua awamu hio hana lake. Na alipo sasa uchovu tu umejaa na majuto juu.. atafute kazi au afanye biashara sasa

Ha ha haaaaaa
 
View attachment 635624
Malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu amemwambia muigizaji mwenzake wa filamu ambaye ni kada wa CCM, Steve Nyerere kwamba hana mpango wa kurudi tena CCM.

Wema amesema hayo baada ya kuona ujumbe wa Steve Nyerere kumpongeza Alberto Msando kwa uamuzi wake wa kukihama chama cha ACT Wazalendo ya kwenda Chama Cha Mapinduzi, CCM.

“HAHAHAHAHAHAHAHAHAHA SASA UTAKUWA MZALENDO WA KWELI , MSANDO NAESHIMU MAAMUZI YAKO MAANA NI MAAMUZI SAHIHI, KWAKO PAMOJA NA FAMILY YAKO , RAFIKI ZAKO NASI TUPO PAMOJA NAWE, SOON NA YULEEEEEEEEE RAFIKI YETU , DADA ETU , MSANII MWENZETU , NAYE YUPO NJIANI KURUDI NYUMBANI, COMING BACK TIVU , WELCOME MSANDO,” aliandika Steve Nyerere.

Baada ya kauli hiyo, Wema Sepetu aliamua kuweka mambo sawa juu ya kauli hiyo huku akidai kwamba hana mpango wa kuhama Chadema na kurudi CCM.

“I hope hauniongelei mimi… Maana mawazo hayo sina,” aliandika Wema Sepetu.

Muigizaji huyo alikihama chama hicho baada ya kudai kuna mambo ambayo hayaendi sana ndani ya chama hicho.

Muungwana
Wema ni nani?!

Na hivi ccm kinahitaji wacheza vigodoro kama kina wema?!!!. Dah nitashangaa sana .....asitafute kiki huyo chakula ya wapenda ngono!!!
 
Hajawahi kuwa na impact yoyote kwa CCM wala hawamuhitaji hivyo aache kuropoka.
By the way she is older now usanii awaachie mabinti wadogo.Grow up
 
Kwa hali hii ya siasa ya leo. Huyu Dada na kesi yake. Asitafute sifa. Hali si swari. Asishangae akamfuata yule wa miaka miwili.
 
Jamani tutumie akili kidogo na kujiluza, hivi Wema ana umuhimu gani ndani ya chadema au hata CCM? Mbona toka ajiunge na Chadema hiko chama hakijaimarika zaidi ya kuzidi kukimbiwa na watu kila kukicha, je ana gundu ila hajijuwi?
 
Ni muda tu.

Kama Nywele Nyeupe mwenyewe alisema hawezi kuhama kamwe na akahama, yeye Wema nani?
 
Back
Top Bottom