Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Video: Rose Muhando - Magufuli Tubebe
1 Reactions
13 Replies
21K Views
Kwa hakika huyu bwana mdogo Rayvanny ni sheeeeda maana si kwa mikwaju hii walahi daaah. Huu wimbo alio shirikiana na DJ Maphorisa ni nyooooka Yaani huu wimbo hauchoshi kuusikiliza wala...
1 Reactions
61 Replies
11K Views
habari wadau.. naona rais wa WCB mambo ya vyuma vimekaza yeye hayamuhusu.. maana hela anachukua kwa wateja wake waliopo dunia nzima... zawadi ya harusi ya dj wake mr romy jones ni nyumbaaa...
16 Reactions
88 Replies
23K Views
Wakuu. Ile picha inayosambaa kuna watu wameanguka mbele ya masanja inaonekana jamaa aliwapiga wakaanguka au ni maombi ya kawaida? Vyombo vya dola vifanye uchunguzi maana hachelewi kuwasukuma...
6 Reactions
122 Replies
14K Views
Sijui kwakweli kama hawa jamaa walikuwa serious.. Au huenda walipishana lugha. Nafikiri hawakuelewana kabisa.. Kinachoimbwa hakirandani hata kidogo na video Wimbi mzuri kweli..ila humu ndani...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Naomba kujuzwa wakali wa hip hop wa zamani kama xplastaz, weusi ten ngangali na wakali wa sasa kama Niki mbishi n.k wako wapi hatusikii wakitoa nyimbo Kali za kuchana au ndo kusema hip hop imekufa
0 Reactions
41 Replies
10K Views
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Maneno ya DogoJanja Janja kuhusu picha za uchi za Irene uwoya
0 Reactions
52 Replies
85K Views
Natafuta picha za harusi sizipati lakini habari ni kuwa huyu prodyusa wa mziki ambaye aliyewahi kuseama kuwa ana alergy na hali ya hewa ya Tanzania ameoa mtoto wa rais mwinyi. Habari zilizokuwa...
7 Reactions
49 Replies
19K Views
Staa wa ngoma ‘Mbeleko’ Rayvanny aliyeko Marekani kikazi, baada ya kurushiana maneno yaliyoashiria kuwa amekosana kimahusiano na mama wa mtoto wake, ‘Fayhma’ sasa ameonesha kuelekeza mapenzi...
2 Reactions
40 Replies
55K Views
Hii ni show ya JUMA JUX Pale Escape One kwenye party ya after school bash
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Asee tukae tukijua kuna tofauti kubwa sana ya mtu aliyekula tikiti maji na aliyekula ugali asubuhi, Aliyekula tikiti maji asubuhi ya saa moja by saa nne tu njaa humuuma tena na huingia tena...
10 Reactions
90 Replies
10K Views
Jana usiku ndio ilikua siku ya zari all white party ambayo alifanyia uganda, nimekuletea video kuanzia anaingi ukumbini...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ana andika Msanii Mwijaku baada ya kuona mahangaiko ya Hamisa. "My brother unaekimbia majukumu yako, usiniache kabisa nikamkaribia girlfriend wako uliemzalisha na kumkimbia ukidhani hana thamani...
9 Reactions
93 Replies
19K Views
Katika pitapiza zangu mitandaoni nimebahatika kukutana na maelezo ya Vanny boy dogo wa WCB anasema kafanya ngoma na Darulo and French Montana....katika umri mdogo kama ule ameanza mambo makubwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
  • Closed
Insta kunafuka moshi kwa wapenda ubuyu yaan mambo ni hivii,,ni pale bibi Tukinao mwenye miaka 49 kurusha kombora hili snapchat nadhan alimpa dongo yule mwenye party Don zella basi bomu...
9 Reactions
180 Replies
21K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Soma kichwa cha habar hapo juu Hivi huu utaratibu aliouweka ni nani? Clouds media imekuwa kimbilio la wasanii kwenda kutambulisha audio zao, msanii akitoa audio huwa ana...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Bondia asiyepigika Floyd Money Mayweather hatimaye amekubali kufanya rematch na Conor McGregor ila safari hii haitakuwa boxing tena bali UFC kwa dau la 1 billion USD Na hatoishia kwa Conor tu...
8 Reactions
161 Replies
17K Views
Nimegundua kwa nini Diamond hutoa nyimbo hata tano ndani ya mwezi mmoja na akitulia kwa muda wa mwezi bila kutoa wimbo anafutika ghafla kwwnye ulimwengu wa muziki. Hii itakuwa inatokana na nyimbo...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wadau Leo tarehe 22/12/2017 ni siku maalumu sana kwa Watanzania wote kwani ni kumbukumbu ya siku aliyozaliwa Mh Kasimu Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom