Leo ni siku ya kuzaliwa Mh. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau
Leo tarehe 22/12/2017 ni siku maalumu sana kwa Watanzania wote kwani ni kumbukumbu ya siku aliyozaliwa Mh Kasimu Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Dk John Pombe Maguguli.
Nichukue fursa hii kumtakia kila la kheri pamoja na kumuombea kwa Mungu ili amzidishie nguvu, ujasiri, uvumilivu na baraka tele aweze kutekeleza majukumu yake kikamilifu ya kumshauri na kumsaidia Mh Rais wetu mpendwa anayeongoza mapambano dhidi ya ufisadi.
Mungu akubariki sana Mh Kasimu Majaliwa.
Happy Anniversary!
 
Hakuna kiongozi awamu ya tano anaitwa Dk John Pombe Maguguli
 
Wakati anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, aangalie swala la umeme jimboni kwake. Unakatika sana kupindukia kitendo ambacho si cha kiungwana. Giza halikubaliki.
 
Back
Top Bottom