Tofauti ya mla tikiti na ugali asubuhi; Diamond na Kiba

playboy babu

JF-Expert Member
Nov 12, 2015
2,647
1,565
Asee tukae tukijua kuna tofauti kubwa sana ya mtu aliyekula tikiti maji na aliyekula ugali asubuhi,

Aliyekula tikiti maji asubuhi ya saa moja by saa nne tu njaa humuuma tena na huingia tena jikoni kuchukua kipande kingine cha tikiti na ikifika tena saa nane na saa 12 atakula tena na hivyo kumfanya hadi jioni kuwa kala mara nne na huweza kujisifu kwamba anakula sana huyu bwana na watu wakamshangilia kweli kweli kwamba jamaa anabunya hatari

Tofauti na aliyekula ugali muda mmoja na yule wa matikiti huyu anaweza fika hata saa mbili usiku ndo ale tena kwa kuwa ugali ni chakula kizito na hukaa muda mrefu tumboni na humeng'enywa taratibu kwa nidhamu tofauti na tikiti maji..............

Diamond Achana Na Matikiti Maji Nadhani Ni Muda Wa Kudeal Na Ugali Kama Kiba Hii Miziki Myepesi Myepes Ya Wiki Tatu Nne Sasa Basi Tuliza Kichwa Fanya Kazi Za Maana, Huoni Aibu Kiba Ana Ngoma Mpya Ya Seduce Bt Juzi Kawagaragaza Afrimma Na Aje?...
Don't you Asq Ur Selvz Why?....

Ila matikiti maji noo we want diamond yule wa lala salama nitarejea and other shits of that kind..
 
Kwa akili yako tikiti na ugali NI vitu sawa???




Hebu tuachie uzuzu wako wa shimoni kkoo

Mmezoea kubeba mizigo,hatushangai kuubeba mzigo huo wa kiba
enheeeee utofauti huohuo ndo nnaouzungumzia hapa kaka ndo maana sijazungumzia tikiti la morogoro na la iringa au else where bt nmezungumzia tikiti na ugali coz ni vitu viwili tofauti kabisa...karibu tena.
 
Mwambie aslay sio Mond bin ladeni
kuhusu aslay kaka ipo hivi kuna tofauti ya uachiaji nyimbo kwa msanii ambaye ndo anatoka,aliyepo kwenye mainstream na ambaye alikuwepo akapotea na anataka kurudi tena...hapa msanii anayetoka au ambaye alikuwepo akapotea na anataka arudi tena hawana tofauti sana kwenye ku release mara nyingi hutoa ngoma tatu hadi nne kwa mpigo ili kuwadhihirishia wasikilizaji kwamba habahatishi na aslay yupo kwenye hilo kundi la msanii aliyetoweka na sasa anarudi kwa maana ya kutoka kwenye kundi na kurudi kwenye solo..bt msanii aliyepo kwenye mainstream kama diamond ambaye huwa mnatuaminisha kwamba now on yy ndo on top huwa hawaachii kama msanii ambaye ndo anatoka au anarudi tena kwenye game....na huu utaratibu wake wa kutoa nyimbo nyingi katika kipindi kifupi ndo huu umeanza kumpalia kias kwamba anaiba baadhi ya vitu na muda mwingine anatoa ngoma kama zinafanana hivi na creativity inakuwa ndogo
 
Back
Top Bottom