Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Tukiangalia mwaka 2016 katika wasanii wa bongo fleva nani aliefanikiwa katika muziki wake na kuingiza pato kubwa mwaka 2016 Diamond platnumz huyu ndo msanii aliepata mafanikio zaidi Tanzania Hizi...
12 Reactions
44 Replies
20K Views
Kwa kweli naona hapa mzee Abdul kiroho kitakuwa kinamuuma kweli kuona yeye kutopewa nafasi ya kuhudhuria kwenye Bday ya mjukuu wake Nillan badala yake amepewa Mume mwenza (Shamte) Hili ni pigo...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Hivi hawa watu toka watoke jela wako wapi na wanafanya nn? Kama hakuna wanachofanya rais alifanya makosa kuwatoa
1 Reactions
25 Replies
8K Views
Hutu tu michael tulikuwa na dharau sana.Tunawekaje miguu juu mbele ya Rais?Au alimwona mzee mwinyi dhaifu.Ingekuwa wakati huu Magufuli angemkata makofi na kumpa masaa 24 awe amerudi kwao.
9 Reactions
108 Replies
24K Views
Nashangaa shepu hii sio ya kuvaa nguo kama hizi halafu ktk TV
2 Reactions
137 Replies
22K Views
Habari Mwaka 2010 huyu mwanadada alivuma na wimbo wake 'Inatosha basi' baadaye akaja na wimbo 'nafsi inauma' na mwishowe akatoa collabo na Mtoto wa Tandale baadaye akapotea. Natamani kumsikia...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hawa nd'o rappers na freestylers wakali na wakatili wanaoitendea haki rap ndani ya Tanzania, Ingawa watanzania wengi bado hawajawajua. Hao wengine wenye majina makubwa wanabebwa na upepo wa...
5 Reactions
49 Replies
6K Views
Wasalaam wana jamvi? Ina semekana msanii Jack amekuwa na mchezo wa kwenda kujitolea mahari,hadi sasa amesha peleka mahari za wanaume zaidi ya saba kwa bibi yake....kiasi kwamba Bibi yake anaelekea...
4 Reactions
61 Replies
10K Views
Dah leo nimepata bahati ya kwenda gerezani kumtembelea lulu au Elizabeth, jamani ndugu zangu kaka dada baba babu Shangazi jela sio pahala pazuri. Najua leo wengi wetu tumekaa tunakula pilau na...
11 Reactions
91 Replies
18K Views
Ndugu wana JF Habari zenu wakuu, nimepotea kitambo kwa threads zangu za kuwashika vilivyo. Yule mkongwe wa game asiyekamatika na style yake ya kurap ambaye aliamua kuwa mchungaji, amerudi upya na...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari wanajamvi hebu tusalimiane na kufahamiana kidogo tukiumalizia huu mwaka... mfano: habari! naitwa James.. anayefuata..habari James naitwa Husein.. anayefuata.. habari husein naitwa Fadhila...
2 Reactions
97 Replies
7K Views
Baada ya kuona vijembe vikiendelea na maneno kuwa mengi kwenye mitandao ya kijamii kati ya Hamisa Mobetto na Zari na kuonekana kama upande wa Diamond Platnumz unadaiwa kuwa umeamua kumsapoti Zari...
0 Reactions
30 Replies
10K Views
Show zake zote ni sold out
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naisubiria kwa hamu siku yake ya kuzaliwa Abdul Naseeeb mtoto halali wa Diamond Platnumz a.k.a Muuza Karanga na Hamisa Mobeto Chuchunge au ukipenda muite mbu (Anopheles) nataka kuona kama kweli...
2 Reactions
35 Replies
7K Views
Miss Tanzania 2010 GENOVIVA MPANGALA, SIJAWAHI KUMTAMKIA KUMPENDA JAPO NILIKUWA NAMTAKA KIMAPENZI. Mimi Deo Kisandu, Nakumbuka ilikuwa kati ya Mwaka 2012 au 2011 tulikutana Lushoto, Tanga akiwa...
7 Reactions
51 Replies
7K Views
Msikie hapa.. Hana shida na mtoto wa Mobeto..makosa ya wazazi si makosa ya mtoto. Yuko tayari kumpokea mtoto. My Take... Huyu mwanamke nafikiri akili zake si za Africa. Ana akili kubwa sana...
30 Reactions
137 Replies
25K Views
Msanii Nikki wa Pili ambaye ni miongoni mwa wasanii wachache wanaofanya uchambuzi wa masuala mbali mbali ikiwemo uchumi wa taifa, ametupa jiwe gizani kuhusu sera mpya ya viwanda. Kupitia...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Tutililike orodha ya wasanii wanaotumia madawa ya kulevya, 1. Chidi benz 2. Ferooz 3. Recho 4. Young Dar es Salaam 5.
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Msanii wa muziki wa bongo fleva Harmorapa amefunguka na kusema kuwa katika mwaka 2017 amehangaika kulipata penzi la mwanadada Wema Sepetu kiasi cha kuamua kwenda kwa mganga wa kienyeji mara tatu...
1 Reactions
30 Replies
7K Views
Back
Top Bottom