Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hello guys Kwa mnaofuatilia vizur patrick ngowi alivokuwa na miaka 27 aliingia kwenye forbes africa under 30 list huku kampuni zake za solar ikiwa na revenue ya 2million usd kwa mwaka, akaitwa...
17 Reactions
90 Replies
14K Views
Mange Kimambi on Wanawake LIVE! Azungumzia maisha yake binafsi, mipango yake na ndoto yake ya kuolewa na mzungu.
1 Reactions
78 Replies
13K Views
Msanii wa kizazi kipya anaepeperusha bendera ya Tanzania kwa kupitia songi lake jipya linalokwenda kwa jina la "I'M SORRY MAMA" mwanadada Chemical, amesema yeye ni bikira(hakuwahi kujigi jigi...
1 Reactions
207 Replies
72K Views
Mama mzazi wa muigizaji wa filamu hapa nchini, Irene Uwoya amefunguka na kueleza kuwa hamtambui mume wa sasa wa mwanaye, Dogo Janja na anachokijua yeye ni kuwa mume wa ndoa wa mwanaye amefariki...
3 Reactions
49 Replies
8K Views
Habari wanabodi, Jana majira ya saa nne nilipokea simu kutoka mtu wa karibu kunifahamisha vifo vya members wa team ya Diamond online,Platnumzmond na Nevvo Msafi ,walipata ajali maeneo ya...
4 Reactions
90 Replies
16K Views
BARUA KWA MAMA. Jina langu ni Aslay Isihack, jina hili alinipa Mama yangu mwenyewe Bi. Mozza kutokana na maisha niliyopita ya Muziki wengi wananifahamu kwa jina la Aslay. Barua kwa Mama yangu...
8 Reactions
59 Replies
52K Views
Habari za uhakika ni kwamba wadhamini wa kipindi cha wanawake laivu wameacha kukidhamini kipindi hicho Katika hali yakubabaika mwanadada huyo kageukia chama cha mapinduzi ili kimsaidie na kama...
13 Reactions
99 Replies
16K Views
Habari wadau. Najua wengi tumeona habari za ajali ya vijana wawili ambao ni mashabiki tu wa WCB >> Tanzia: Team Diamond, Nevvo Msafi na Platnumzmond wafariki dunia Imekuwa huzuni mitandaoni...
23 Reactions
45 Replies
12K Views
Mtangazaji mahiri aliyetikisa na kipindi cha Take One ya Clouds TV, Zamaradi Mketema amewajibu waliodai kuwa baadhi ya jumbe zake kwenye Instagram zinatokana na kuwa na msongo wa mawazo(stress)...
4 Reactions
30 Replies
8K Views
Mwamba wa Kaskazini anayesumbua masikio ya wapenda burudani na ngoma ya 'Mipaka' Joh Makini amepangua tetesi za kujihusisha kimapenzi na mwanamuziki Mimi Mars ambaye pia ni mdogo wake msanii...
0 Reactions
33 Replies
10K Views
Nyamirambo - Kigali, Watu kutoka huku na kule walifurika siku ya Jumamosi Januari 20, 208 kumuona mubashara msanii wa kitanzania Diamond Platnumz. Msanii huyo alikwenda sehemu inaitwa Tapis Rouge...
3 Reactions
25 Replies
8K Views
Huyu dada ana shida, Watanzania huyu dada anaumwa anahitaji msaada. Nimemuona Clouds tv akijieleza kwa uchungu! Tuweke mzaha, masihara pembeni tumsaidie atibiwe. Kiukweli ukitazama akiongea...
7 Reactions
94 Replies
12K Views
Nimejaribu kupitia post za hii akaunti ya mtu anayejiita Joyce Kiria kwenye facebook lakini hizi post zinanipa wasiwasi kama kweli ni yeye kapost au ni mahasimu wake. Ili kama si yeye anayepost...
6 Reactions
384 Replies
77K Views
Baada ya tetesi kuzidi kuenea katika mitandao ya kijamii na watu kuzidi kusema kuwa inawezekenaTunda ana mahusiano ya kimapenzi na Diamond Platnumz kutokana tu na ukaribu walionao wawili hao...
2 Reactions
32 Replies
7K Views
Anaandika Kibona Dickson: Huwa sina tabia ya kujadili mambo ya watu binafsi.Leo,ngngoja nitoe maoni yangu juu post ya Joyce Kiria,inayozunguka sana kwenye social media. Joyce Kiria ni mwanamke...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Msanii wa muziki Bongo, Dully Sykes amesema baadhi ya watu wamekuwa wakihofia kumpa nafasi anayostahili katika muziki kwa madai kuwa huwa hapandi ndege wakati yeye ndiye msanii wa kwanza Bongo...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Kwanini joyse kiria super woman huwa havai pete ya ndoa?
1 Reactions
49 Replies
12K Views
Anaandika Dada Joyce Kiria wa Wanawake Live! -------- Nimekunwa mnoooooo na hii post ya Mange huko www.u-turn.co.tz hii post nimecopy ukitaka orijino ya Mange nenda www.uturn.co.tz MANGE...
0 Reactions
84 Replies
13K Views
....CONGRATULATIONS....JOYCE KIRIA...! Starring Bongo Movie na Mtangazaji wa vipindi vya Bongo Movie na Wanawake Live vinavyooneshwa na ting'a kali No 1 kwa vijana aka 5-EATV,Joyce Kiria kwa...
1 Reactions
59 Replies
21K Views
Mtangazaji Mashuhuri wa Kipindi cha Wanawake Live Bi Joyce Kiria leo 06/03/2012 ameweka bayana kiwango chake cha elimu na kusema kwamba licha ya kwamba ameishia darasa la saba tu lakini ni...
7 Reactions
190 Replies
32K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…