Joyce Kiria ajifungua Baby Boy

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
[h=3]....CONGRATULATIONS....JOYCE KIRIA...![/h]
Starring Bongo Movie na Mtangazaji wa vipindi vya Bongo Movie na Wanawake Live vinavyooneshwa na ting'a kali No 1 kwa vijana aka 5-EATV,Joyce Kiria kwa sasa ruksa kumuita Mama Lincon,baada ya kujifungua mtoto wa kiume,siku ya Jumamosi tarehe 11 June,2011 pande za Marie Stopes Clinic iliyopo Mwenge-DSM Newly Born-Baby Boy anakwenda kwa jina la Lincon Henry Kilewo....Congrats
 
Eee bwana.......daah!! Hadi raha, hongera zake jamani kuwa na mtoto rahaaa. So u galz don't abort, mmesikia eeeh, cha muhimu tu ni kujiandaa sawaaa......?
 
Hivi ni Venja au Nelly?!

Nakumbuka kama huyu mdada alikuwa kaolewa na DJ Nelly lakini nilisikia waliachana zamani sana. Mwenye taarifa sahihi atueleze huyu mtoto sasa ni wa DJ Nelly au alipata bwana mwingine????
 
Maria stopes wameendelea sana, kutoka utoaji mimba hadi uzalishaji.
Ha ha ha ha ha ha,Hao jamaa ni noumer kwa kunyonga Watoto!! Hongera kwa kutokuua dada maana siku hz its customary, Mungu akubariki wewe na mtoto wako!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom