Tanzia: Team Diamond, Nevvo Msafi na Platnumzmond wafariki dunia

Amalinze

JF-Expert Member
May 6, 2012
6,784
5,285
Habari wanabodi,

Jana majira ya saa nne nilipokea simu kutoka mtu wa karibu kunifahamisha vifo vya members wa team ya Diamond online,Platnumzmond na Nevvo Msafi ,walipata ajali maeneo ya chalinze.

Poleni wafiwa,Poleni WCB Clique.
20180121_114757.png

20180121_114729.png

20180121_114703.png
 
Back
Top Bottom