Hawa clouds ni wazi bwana makonda ana kila haki ya kutowaomba msamaha na kubaki na msimamo wao
Clouds ni chombo cha habar cha kuchunga sana,ni kama kakundi Fulani kakujenga fitna na kuongeza...
Toka asubuhi mambo huko insta yamekuwa wanaita ...hiviiiiiii ...Maana mwanadada anakuja na list ya wanawake waliotembea na mmoja ya viongozi wakubwa kidini tena akidai anawala mkundy bila ajizi...
Beautiful onyinye wa bongo kama wanavyo muita watu. Miss Tanzania Wema Sepetu aka sepetunga ni kwamba ameshindwa kurudisha account yake ya Instagram ambayo inasaidika imekuwa hacked (Kudukuliwa)...
Mwanandondi huyo mambaye kwa sasa amefungua shamba la ukubwa wa ekari 40, kwa ajili ya kilimo cha bangi, amejiweka karibu na mwanamuziki Snoop ambaye nae tayari anafanya shughuli za uzalishaji wa...
Rachel najua upo humu JF. Najua nikikushauri utaniblock.
Baada ya ile hotel kutangaza offer yao ya Tsh 22,400,000/=, huyu mdada akaanza kupost hivi;
Usiyemtaka amekuja mwenyewe. Ukiona manyoya...
Kwakweli Mungu yupo jamani
Yani kwa many any aso wanayotoa Clouds Fm kwa wasaniii wengi nchini ni afadhali WASAFI wameingilia kati wakaweka Radio na TV yao...
Tunaamini WASAFI hawana njaa za...
Mwanandondi msataafu ameripotiwa kufanya kazi na mwanamuziki Snoop Doggy huku akijifinza kuhusu bangi.
Mwanandondi huyo mambaye kwa sasa amefungua shamba la ukubwa wa ekari 40, kwa ajili ya...
Joseph Kusaga mmliki wa Clouds media ndio mtu anayeni inspaya kwa biashara zake haswa upande wa media.
Ni ndoto yangu kufikia mafanikio kama yake.
Ni mfano wa kuigwa kwa vijana wengi.
Lakini...
Kila nilipokuwa nikimtizama hasa anatangaza Taarifa ya Habari ya Runinga ambayo huwa inarushwa na Kituo cha Runinga cha Star tv kila Jumatatu hadi Ijumaa Saa 3 Kamili hadi Saa 3 Unusu nilikuwa...
Msanii wa muziki Bongo, Q Chillah amesema licha ya kuwa na njia mbali mbali za msanii kutangaza muziki wake bado atahitaji support ya media.
Muimbaji huyo ambaye hivi karibuni ameachia ngoma mpya...
Ushahidi wa mkojo wa mwanasiasa Wema Sepetu umezusha mabishano ya kisheria baada ya Wakili Albert Msando kumhoji Inspekta wa polisi kama alikuwepo wakati mkojo huo " unapatikana na kuchukuliwa"...
Ni kawaida kwa binadamu ku shukuru/kum acknowledge binadamu mwenzie baada ya kufariki.Tabia ambayo imeota mizizi katika maisha yetu japokuwa sio tabia nzuri/mbegu nzuri ya kuipanda.
Katika muziki...
Msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu Diamond amesema mazungumzo katika kesi yake Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu upande wa watoto kati yake na mwanamitindo Hamisa Mobeto, imekwenda vizuri...
Joyce Kiria aibuka tena na issue ya mumewe lakini awamu hii amewachana wanaombeza.
Instagram:
joycekiriasuperwoman: Watu wangu Nifunzeni jinsi ya kusonya na kunyali nyumbu wote waliotoka povuuuu...
Tumelalamikia Kwa Mrefu Mno, Juu Ya Suala La Makampuni Ya Visimbuzi Kutuchaji Gharama Za Katazama Zile 5 Local Channel, Ambazo Tokea Awali Tuliambiwa Ni Za Bure,But Sasa Mwaka Na Nusu Tunalipishwa...
Hawa wanasiasa maarufu watatu ukiangalia historia zao za utotoni zinafanana wote wamepata malezi ya mzazi mmoja mmoja ( mama). Ila katika kuyafikia mafanikio ya kisiasa walipitia njia " ngumu"...
Hizi habari zingeanzia Tanzania tungesema jamaa kama kawaida yake anatengeneza kiki, kumbe ukweli ni kwamba, asilimia kubwa ya yale yanayosemwa kwamba jamaa anatengeneza kiki; huwa yanatengenezwa...
Ikiwa zimepita siku 10 tu toka tuanze mwaka huu wa 2018. Mwanzilishi wa Facebook Mark Zucckerberg ameshaingiza kiasi cha dola bilioni 4 ( TRILIONI 8.9 za kitanzania) kulingana na orodha ya...