Namkubali sana Joe Kusaga na ni role model wangu lakini kufanya naye biashara ni 'risk'

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
437
1,000
Joseph Kusaga mmliki wa Clouds media ndio mtu anayeni inspaya kwa biashara zake haswa upande wa media.
Ni ndoto yangu kufikia mafanikio kama yake.

Ni mfano wa kuigwa kwa vijana wengi.

Lakini niwe mkweli ameniangusha sana kwa kitendo cha kampuni yake kuingiza migogoro yao ya kibiashara na Diamond Platnumz kwenye biashara.

Kufanya biashara na mtu ambaye mkitofautiana au kupishana kauli basi anatumia media zake kukuadhibu na mbaya zaidi anaenda kuvujisha mikataba yenu ya kibiashara kwenye media zake ni risk kubwa.

Brother Jo hakika umeteleza jisahihishe, mambo ya kutofautiana kati ya washirika wa kibiashara ni ya kawaida ila yasiende mpaka kuharibu biashara zenyewe.

Okay kwa mfano mmeshaujulisha umma kwamba Diamond karanga ni za Clouds kupitia kusaga ila diamond ni mjinga tu kufungamanisha brand yake na hizo karanga....mnafikiri mnamkomesha diamond? tunaambiwa na watangazaji wako ata chibu perfume ni ya kusaga so diamond ni mpumbavu kuweka brand yake ya chibu kwenye hizo perfume.

Sawa sisi tulitoa sapoti kwenye hizo bidhaa sababu ya kumpa nguvu diamond kijana mwenzetu toka uswazi ila matokeo yake mnatumia hayo makubaliano kumuadhibu msanii wetu tunaemkubali msanii wa mfano tokea tupate uhuru.

Kusaga umetuangusha sana tunaokukubali haya mambo unayapeleka very unprofessional.

Hizi biashara za namna hii wamefanya kina jordan na nike , g unit wamefanya na adidas, christan ronaldo na CR7nk nk nk lakini ata wakitofautiana wanamaliza mambo yao kistaarabu kama watu wanaoheshimu biashara na makubaliano ya mikataba...

Leo hii jordan hayupo tena na nike na anafanya vizuri...siku diamond akikaa kando na hizo karanga au akafanya kwa namna nyingine mnafikiri haitawaumiza kibiashara?

Yangu ni hayo tu!
 
kalou

JF-Expert Member
Aug 22, 2009
4,942
2,000
Ukimsikia Diamond kwenye ile remix ya My chick bad aliyoshirikishwa na Ludacris utakubali huyu demu ni rapa mkali ila sijui kwa nini hatoboi kwenye main stream music mpaka leo..
 
sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
437
1,000
Naona kijana wa WCB unatoa povu baada ya kudondokea pua...tatizo wcb mnapenda kujifanya nyi mnamafanikio sana kuliko wenginena kuwaona wasanii wengine bongo kama umbwa

Hapa tunaongea vitu oversize kwako ni vema ukatafute mijadala ya team.

Wcb ni brand kubwa kibiashara ikuumize au ikupendeze, ndio maana watu wote wanaitolea macho ikiwemo wewe.
 
sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
437
1,000
Ukimsikia Diamond kwenye ile remix ya My chick bad aliyoshirikishwa na Ludacris utakubali huyu demu ni rapa mkali ila sijui kwa nini hatoboi kwenye main stream music mpaka leo..
Haisaidii mkuu, Diamond anajulikana mpaka na watoto tena wa vijijini. Itakuumiza bure hiyo chuki.
 
fasiliteta

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
1,306
2,000
Joseph Kusaga mmliki wa Clouds media ndio mtu anayeni inspaya kwa biashara zake haswa upande wa media.
Ni ndoto yangu kufikia mafanikio kama yake.

Ni mfano wa kuigwa kwa vijana wengi.

Lakini niwe mkweli ameniangusha sana kwa kitendo cha kampuni yake kuingiza migogoro yao ya kibiashara na Diamond Platnumz kwenye biashara.

Kufanya biashara na mtu ambaye mkitofautiana au kupishana kauli basi anatumia media zake kukuadhibu na mbaya zaidi anaenda kuvujisha mikataba yenu ya kibiashara kwenye media zake ni risk kubwa.

Brother Jo hakika umeteleza jisahihishe, mambo ya kutofautiana kati ya washirika wa kibiashara ni ya kawaida ila yasiende mpaka kuharibu biashara zenyewe.

Okay kwa mfano mmeshaujulisha umma kwamba Diamond karanga ni za Clouds kupitia kusaga ila diamond ni mjinga tu kufungamanisha brand yake na hizo karanga....mnafikiri mnamkomesha diamond? tunaambiwa na watangazaji wako ata chibu perfume ni ya kusaga so diamond ni mpumbavu kuweka brand yake ya chibu kwenye hizo perfume.

Sawa sisi tulitoa sapoti kwenye hizo bidhaa sababu ya kumpa nguvu diamond kijana mwenzetu toka uswazi ila matokeo yake mnatumia hayo makubaliano kumuadhibu msanii wetu tunaemkubali msanii wa mfano tokea tupate uhuru.

Kusaga umetuangusha sana tunaokukubali haya mambo unayapeleka very unprofessional.

Hizi biashara za namna hii wamefanya kina jordan na nike , g unit wamefanya na adidas, christan ronaldo na CR7nk nk nk lakini ata wakitofautiana wanamaliza mambo yao kistaarabu kama watu wanaoheshimu biashara na makubaliano ya mikataba...

Leo hii jordan hayupo tena na nike na anafanya vizuri...siku diamond akikaa kando na hizo karanga au akafanya kwa namna nyingine mnafikiri haitawaumiza kibiashara?

Yangu ni hayo tu!
Tunasubiri suuu,tuachane na kila lisilo muhusu diamond, kisha wakae pembeni kama wanaweza

Wajinga sana hao,ndo mana bashite alikataa kuwaomba radhi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom