Irene na ndikumana warudiana.

Mwakubwa.... so it was one of those Irene's films?????????????:A S embarassed:

Just like ze comedy, very simple na hazina maudhui ya maana....
 
Just thinking aloud.... Irene Uyowa.. Does she deserve all this publicity? The other time nimeona kwenye You Tube wanamhoji jinsi anavyomlea mwanae, nikajiuliza... what is so special? what is the big deal? Tunahitaji kuambiwa/kuonyeshwa jinsi Irene unavyolea mwanae? Watanzania tuna pressing issues ngapi za ku deal nazo?????? Umeme, maji, ukame, njaa, .........

As I said before, just thinking aloud.....I am sorry if I offended anyone
 
Narudia tena kama nilivoysema katika thread iliyotangaza kuachana kwao..........Ndugu wakigombana, chuka jembe ukalime, wakipatana chukua kapu ukavune........
 
Just thinking aloud.... Irene Uyowa.. Does she deserve all this publicity? The other time nimeona kwenye You Tube wanamhoji jinsi anavyomlea mwanae, nikajiuliza... what is so special? what is the big deal? Tunahitaji kuambiwa/kuonyeshwa jinsi Irene unavyolea mwanae? Watanzania tuna pressing issues ngapi za ku deal nazo?????? Umeme, maji, ukame, njaa, .........

As I said before, just thinking aloud.....I am sorry if I offended anyone

Okada!

Sasa hiyo ndo definition ya mchango wa celeb wa kibongo kwa jamii yake..................hahaha hadi inatia kichefuchefu!
 
Irene kama wapita huku una mengi ya kubadilika aisee.....tukianza na utafunaji wako si wa kike hasaaa khaaa!
 
unajua hii hadith haitofautiani na ya wema na Diamond ,its just the same irene is not very special ni wa kawaida sana ni njia ya kuuza mahazet leo wamegomba kesho wamepatana.naomba tuifungi hii tread ili asipate kichwa huko aliko akajiona bonge la super star
 
Back
Top Bottom