Lady Jay Dee ametisha

Lady Jay Dee ametisha

Kwa kusoma tu ulivyoandika kweli Jide ametoa bonge la kitu, si la kitoto.
 
Kuna pahala kacheza wigi likaanguka kisha akatoka nduki, EDITOR wa hiyo video kachemka...CHEKI HAPO
Screen Shot 2018-03-27 at 6.46.54 PM.png
Screen Shot 2018-03-27 at 6.47.06 PM.png
Screen Shot 2018-03-27 at 6.47.28 PM.png
We Mcheki hapo kacheza WIGI likaanguka akaamua kutoka nduki...POOR editing...
 
Hakika wimbo mpya wa Lady Jay Dee unaoitwa nani anaweza kusimama ni wimbo mzuri mno kuanzia ujumbe mpaka rhythm yaani kiukweli,komando bado anadhihirisha ni moto wakuotea mbali
Tata hata hapa Buswege watu wanaufurahia sana wimbo huu.
 
Haikua bahati mbaya

nafanya sana kazi za graphics na editing.. huyu jamaa anafikiri ma editor ni wapuuzi.. kazi kabla haijatoka inaangaliwa karibu mara 100 wakati ana edit na muda mwingine usiku kucha kila scene anaangalia sana wakati anafanya transition effects.. na baadae mteja nae anaangalia sana na management yake.. haiwezi kutoka na kosa la kizembe kama hilo .. hilo lingefutwa zamani sana na editor.. hiyo ni plan
 
Kitalam zaid asante mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom