Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Baada ya mdau mmoja kuanzisha Uzi akizungumzia wasanii was vichekesho wasiojua. Mimi nawaletea wasanii wangu wanaojua katika sector ya bongo flava Ninaposema wanaojua nazungumzia aspects nyingi...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Monde ushaambiwa, hapa kazi tu. Sasa mheshimiwa sana alipokupa nafasi ya kuimba, alitegemea uimbe nyimbo kama za kina Mrisho Mpoto za kusifia maendeleo ya chama na serikali wewe ukaboronga na...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Huyu wa kuitwa jamuhuri mwavyombo anachefua anaposoma Habari anasoma neno moja moja Ni siku nyingi Sasa nimevumilia hii kero imetosha Mimi Ni mdau mkubwa wa BBC swahili huyu Mtangazaji anakera...
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Shalom,Leo nikiwa nimejipumzisha home baada ya kutoka kanisani nikiwa naangalia Emmanuel TV mara namuona Jerry Muro yuko ndani ya SCOAN,sijui kaenda kutubu.
6 Reactions
66 Replies
11K Views
Heri ya Pasaka wapendwa; Leo pale maeneo ya Mlimani city hall kutakua na tamasha la film la kwanza Kwa hapa Tanzania ambapo tuzo mbalimbali za film zitatolewa usiku wa Leo kwa wasanii...
5 Reactions
388 Replies
31K Views
uyo jama shenzi type kweli kaingilia love life ya boss wake Diamond .. kabla ata hajafukuzwa rasmi ...kakimbilia instagram kuwadanganya watu eti ameacha kazi ... kwani kuachishwa kazi si kawaida...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama ilivyo ada,kwa dunia ya sasa ya kidigital 90% imetawaliwa na social media...sasa kwa hapa bongo siku ya jana kulikua na matukio makubwa manne ukiachilia mbali pasaka na siku ya wajinga ambazo...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Jana limefanyika zoezi la utoaji wa tuzo katika secta ya filamu Tanzania, ni jambo jema na la kupongezwa kwani ni hatua nzuri kwa tasnia ya filamu Tanzania. Pamoja na yote dosari niliyoiyona ni...
7 Reactions
15 Replies
3K Views
hatimae dada yake chibu esma platnumz amesema kuwa kifesi amefukuzwa kazi wala hajaacha kazi kasema wao wamemshindwa sembuse yeye mtu baki
2 Reactions
145 Replies
20K Views
Duh hii bongo land ni shida , Yani nimekuta album ya diamond inabaniwa kwa shilingi 1500, kwenye vibanda vya kuchoma cd, kiukweli album ni kali, sasa nashangaa kwanini haki ya msanii inatumiwa na...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Ama kweli kutoa ni moyo na wala so utajili,hawa ndo wasanii tunao wataka,awe kioo cha jamii haswa. Nawasilisha hoja
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Mwimbaji kutoka Burundi, Kidum aliwekewa sumu na kulazwa Hospitali nchini Burundi Mwanamuziki huyo aliandika kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema ataruhusiwa Jumatatu lakini...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Kupitia ukurusa wake wa instagram, mwanamuziki diamond platnums amepost mjengo wake mpya uliopo south Africa, huku akimpongeza mzazi mwenzie (mama tiffah) kwenye siku yake ya kuzaliwa
14 Reactions
475 Replies
126K Views
Nimewaza sana hivi nini hawa wasanii wengine hawana ambacho wcb wanavyo peke yao,yani licha ya kubaniwa na media but ndo habari ya mjini,yaani you tube yote wameikamata hadI huruma nyimbo zao ndo...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Msanii wa muziki BongoFleva Juma Jux ambaye yuko kwenye mahusiano ya kimapenzi na Vanessa Mdee, amekanusha taarifa za mpenzi wake huyo kuwa mjamzito na kudai kwa sasa hawajajipanga kufanya hivyo...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Zamani nilimdharau sana niliona kama anadandia fani. Ila siku hizi naona anaimba vizuri sana na biti zake nzuri. Ila mashairi aombe wamtungie, yamekaa kiaunderground sana.
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Unapokuwa unapayukapayuka eti kuna wanaume wanakufuatilia, wakufuatilie kwa lipi kama siyo kukuchora tu? Wewe umri huo sana sana utafuatwa na wazee na vijana wasiojiheshimu walioharibikiwa na...
15 Reactions
58 Replies
9K Views
Kila nikitune redio nakutana na " wezeshaaaa...muwezesheeee...tuma pediiii, au helaaa kwenda namba 555 na uchafu". Shaabash Eeeeniweei ila Clouds Media mmezidi. Imagine mtu mzima kama mimi...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mpiga Picha Maarufu wa Diamond ajulikanae kama Kifesi leo ameamua kuacha kazi rasmi kwa sababu alizozitoa nimewawekea hapo chini... Leo ikiwa ni siku takatifu na siku ya ibada kwangu ni siku...
1 Reactions
81 Replies
13K Views
Msanii wa BongoMovie, Faiza Ally huenda akawa ni moja ya mastaa ambao wamekasirishwa na kitendo cha mwanamama Zari kupata dili la kutangaza nepi za watoto za Soft Care. Faiza Ally amesema kuwa...
4 Reactions
137 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…