Joyce Kiria umezeeka ni vyema ukajiheshimu

wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
2,932
4,534
Screenshot_20180326-174627~3.jpg

Unapokuwa unapayukapayuka eti kuna wanaume wanakufuatilia, wakufuatilie kwa lipi kama siyo kukuchora tu?

Wewe umri huo sana sana utafuatwa na wazee na vijana wasiojiheshimu walioharibikiwa na maisha na au hawajielewi kabisa.

Kama umeshindwa kuiheshimu ndoa yako usijidhalilishe hivyo mitandaoni eti unafuatiliwa. Kuna wanaume washamba wanaopenda wanawake maarufu, siyo kwamba eti wanakupenda.

Wanachotaka ni sifa ya kutembea na wewe tu.Hebu utazame umri wako uliotukuka na linganisha na maneno ya kipopoma unayotamka.
 
Hakuna anayemfuatilia anachofanya ni kujitangaza in other words kujiuza
Amekosa heshima eti atatuma invoice who does that?
Kama lea watoto kuliko unavyojidhalilisha
Ulipaswa uendelee kuwa mtumishi wa ndani maana akili yako imedumaaa hujajifunza maisha ya ndoa ni nini kha!
 
Hakuna anayemfuatilia anachofanya ni kujitangaza in other words kujiuza
Amekosa heshima eti atatuma invoice who does that?
Kama lea watoto kuliko unavyojidhalilisha
Ulipaswa uendelee kuwa mtumishi wa ndani maana akili yako imedumaaa hujajifunza maisha ya ndoa ni nini kha!
Huyu faidha ally wa sugu,jdee wa gadna wanastress saana za kuachwa kama utawafuatilia mitandaoni
 
Huyu mwanamama anawadhalilisha wake kwa waume kijinsia.
Lack of exposure, na kutumiwa na NGO's kupaza sauti bila kuchuja ni shida
 
Unapokuwa unapayukapayuka eti kuna wanaume wanakufuatilia, wakufuatilie kwa lipi Kama siyo kukuchora tu?
Wewe umri huo Sana Sana utafuatwa na wazee na vijana wasiojiheshimu walioharibikiwa na maisha na au hawajielewi kabisa.
Kama umeshindwa kuiheshimu ndoa yako usijidhalilishe hivyo mitandaoni eti unafuatiliwa.
Kuna wanaume washamba wanaopenda wanawake maarufu, siyo kwamba eti wanakupenda.
Wanachotaka ni sifa ya kutembea na wewe tu.
Hebu utazame umri wako uliotukuka na linganisha na maneno ya kipopoma unayotamka.
Wiseboy
 
Huyo mwanamke hajielewi jamani sijapata ona
alafu kesha kuwa mzee uwezo wa kupima madhara ya kile
anachoongea hana kabisa!!! tumpe faida ya mashaka huenda
akili yake haipo sawa
 
Tatizo la kujiona mjuaji saaaana huku uwezo wa akili ni mdogo... Hili laweza kuwa tatizo la Joyce...
 
Back
Top Bottom