Wiki mbili zilizopita jina la Diamond Platnumz lilipamba vichwa vya habari. Hiyo iliyokana na mahojiano aliyofanya na kituo cha redio cha Times Machi 19 mwaka huu, akimlalamikia Naibu Waziri wa...
Zari The Boss Lady ametua nchini Dubai kwa ajili ya kula bata na kufurahia wikiendi ikiwa ni siku chache zimepita tangu aliposaini dili la mamilioni ya fedha na kampuni moja ya nepi za watato hapa...
Watanzania mnayapata wapi mapenzi ya Wema Sepetu kwenye bongo movie?
Kipi special kwa Wema ambacho anafaa kupewa tuzo ya Best actress?
Nimeangalia Heaven Sent ni movie ya kawaida sana ambaye...
Ni ukweli usiopingika kwamba Watu maarufu hawa Mwanamuziki Nasib Abdul ( Diamond Platinum ) na Msanii wa Maigizo na Mlimbwende Wema Sepetu ( Sepenga ) ni Watu wenye ' Nyota ' kali sana za...
Usishangae kukuta mtu kama wiz khalifa, snoop dogg, akina lil Wayne ma king katika kupuliza weed aka moshi au jani kitu cha AR wapo ktk kiti cha enzi mbinguni huku watu wema na walokole...
Nimeangalia picha zinazozunguka mitandaoni za hawa mabinti mawili. Kwanza ya Joyce Kiria ambaye anadai mwanaume anayetaka kutoka naye hivi sasa ni lazima alipie gharama za vitu atakavyokuwa amevaa...
Baada ya kuvuja kwa picha na video zikimuonesha mrembo Wema Sepetu akiwa kwenye Swimming Pool.
Hatimaye aliyewahi kuwa Boyfriend wake Idris Sultan amesema picha hizo aliziona na amechukulia...
Moshi. Watanzania watatu na raia wa Marekani, wameteuliwa kutunukiwa tuzo katika tamasha lililoandaliwa na Watanzania waishio ughaibuni (Diaspora) litakalofanyika Dallas nchini Marekani.
Miongoni...
Jamaa alitamba sana na vibao vyake moto moto kama Kizizi, Mapenzi Vionjo na Chagua Moja. Ila amepotea kwenye game saivi.
Naomba nijue yuko wapi na anajishughulisha na nini?
Baada ya mdau mmoja kuanzisha Uzi akizungumzia wasanii was vichekesho wasiojua.
Mimi nawaletea wasanii wangu wanaojua katika sector ya bongo flava
Ninaposema wanaojua nazungumzia aspects nyingi...
Monde ushaambiwa, hapa kazi tu.
Sasa mheshimiwa sana alipokupa nafasi ya kuimba, alitegemea uimbe nyimbo kama za kina Mrisho Mpoto za kusifia maendeleo ya chama na serikali wewe ukaboronga na...
Huyu wa kuitwa jamuhuri mwavyombo anachefua anaposoma Habari anasoma neno moja moja
Ni siku nyingi Sasa nimevumilia hii kero imetosha
Mimi Ni mdau mkubwa wa BBC swahili huyu Mtangazaji anakera...
Shalom,Leo nikiwa nimejipumzisha home baada ya kutoka kanisani nikiwa naangalia Emmanuel TV mara namuona Jerry Muro yuko ndani ya SCOAN,sijui kaenda kutubu.
Heri ya Pasaka wapendwa;
Leo pale maeneo ya Mlimani city hall kutakua na tamasha la film la kwanza Kwa hapa Tanzania ambapo tuzo mbalimbali za film zitatolewa usiku wa Leo kwa wasanii...
uyo jama shenzi type kweli kaingilia love life ya boss wake Diamond .. kabla ata hajafukuzwa rasmi ...kakimbilia instagram kuwadanganya watu eti ameacha kazi ... kwani kuachishwa kazi si kawaida...
Kama ilivyo ada,kwa dunia ya sasa ya kidigital 90% imetawaliwa na social media...sasa kwa hapa bongo siku ya jana kulikua na matukio makubwa manne ukiachilia mbali pasaka na siku ya wajinga ambazo...