Yawezekana nisiwe chochote kwako lakini si vema ukapuuzia kila unachoshauriwa. Nimekuwa shabiki wako kwa muda mrefu, si shabiki tu bali mtu ninayesupport pia kazi zako. Mie si muhudhuriaji hata...
Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amempa nasaha za maisha ya ndoa na ujana, Ali Kiba ambaye yuko kwenye harakati za kufunga ndoa hivi karibuni.
Ingawa taarifa za awali kutoka Mombasa zimekuwa...
Kwa mara ya kwanza baada ya kutopiga ngoma za Wcb kwa mda mrefu Tv E inayosimamiwa na majizo saa 11 jioni ya leo imeonesha hii video ya konde boy, hii ndio kumaanisha wameyamaliza bifu zao au Dj...
Habari wadau..
Naamini media nyingi za tanzania zimegundua umuhimu wa diamnond kwenye tasnia ya habar hususan udaku udaku na mambo mengine..
Diamond ni brand kubwa saana ambaya kuipuuzia katika...
Ni yule dingi wa filamu maarufu ya FULL METAL JACKET ikieelezea story ya makuruta wanaojinoa kupambana ktk vita ya Vietnam vs US...anafahamika sana kwa kumhenyesha Private Pyler na Private...
Siku zote inajulikana king of music wa bongo hana skendo mbaya anajitahidi sana kuziepuka na sasa king kiba anaoa hivi karibuni
Ameshatoa taarifa kwa watu muhimu muhimu akiwa na mpambe wake ommy...
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Elizabeth Michael aka Lulu. Mastaa kibao wanampongeza muigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo gerezani akitumikia kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kumuua aliyekuwa...
Aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platinumz ambaye ni mama wa watoto wawili wa msanii huyo, Zari The Boss Lady ameshindwa kuficha hasira zake na kumshambulia kwa matusi mtandaoni.
Mashambulizi ya Zari...
Mwimbaji maarufu wa taarab Khadija Kopa amekabidhiwa taji ya malkia wa nguvu na kusema " Wakuja wametukuta mjini " na kuibua chereko na hoi hoi. Malkia wa nguvu wengine mi pamoja na Joyce Mhaville...
Aslay ameamua kuachia ngoma nyingine akimshirikisha msanii Bahati kutoka kenya wimbo ukiwa unaitwa BORA NIFE huku WCB wakiwa wameachia video ya wimbo wao unaotrend KWANGARU Karata yako inakwenda...
Jux kupitia brand yake ya African Boy alisaini dili nchini China. Sasa mpenzi wake, Vanessa Mdee hajawa nyuma kwenye hilo
Vanessa Mdee amempongeza Jux kwa hatua hiyo aliyopiga na kuwashukuru watu...
LICHA ya kufanyiwa upasuaji wa tezi dume bado hali ya staa wa filamu za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ ni tete ambapo Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’, amejitosa...
Mbosso ni msanii mpya chini ya uongozi wa WCB. Kabla ya kusajiliwa WCB, Mbosso alikuwa Msanii wa Yamoto band..
Mbosso ameonyesha tamaa ya pesa baada ya kutoa nyimbo yake ya kwanza WATAKUBALI...
Mtangazaji wa Cloud aacha kazi ya utangazaji,aamua kufanya muziki afuata nyazo za kina Ray C
MTILAH BLOG / 7 hours ago
Michael Lukindo
Kama wewe ni msikilizaji mzuri wa radio hasa Cloud Fm...
Kuna wakati nilipita kule kwa wenzetu ule mtandao ulionishinda nikakuta huyu dada anaonewa sana kwasababu ya alitangaza ametengeza million 100 kuuza mtumba na duka lake kwenye hii kipindi fulani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.