VIDEO Aslay ft Bahati

VIDEO Aslay ft Bahati

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,315
Aslay ameamua kuachia ngoma nyingine akimshirikisha msanii Bahati kutoka kenya wimbo ukiwa unaitwa BORA NIFE huku WCB wakiwa wameachia video ya wimbo wao unaotrend KWANGARU Karata yako inakwenda kwa nani?

Huyu bahati si anaimbaga gospel music imekuwaje tena bongo fleva??
 
wisibi bila kiki hawana ujanja,dogo fukuza mwizi kimya kimya
 
Inama inama uonesha tunalengaje!...mwili wangu makuti usije na kiberiti!

Hapana bwana, na uzee wangu huu kwa mara ya kwanza nimepwnda wimbo wa WCB!

Eti basi jilekeze nikubebe mgongoni!....kisha uniongeze ulivyofunzwa unyagoni!

Hawa watoto balaa!

Mbaya zaidi hakuna sarakasi, wanacheza vizuri sana kwa taratibu kufata mapigo ya wimbo!

Hongereni sana vijana wetu.
 
Wcb wana maneno tata Sana sijui wanaitoa wapi
 
Inama inama uonesha tunalengaje!...mwili wangu makuti usije na kiberiti!

Hapana bwana, na uzee wangu huu kwa mara ya kwanza nimepwnda wimbo wa WCB!

Eti basi jilekeze nikubebe mgongoni!....kisha uniongeze ulivyofunzwa unyagoni!

Hawa watoto balaa!

Mbaya zaidi hakuna sarakasi, wanacheza vizuri sana kwa taratibu kufata mapigo ya wimbo!

Hongereni sana vijana wetu.
Kwangwaru teh teh teh teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom