Video P Diddy akimbusu mama Yake mzazi

Video P Diddy akimbusu mama Yake mzazi

Tatizo mna angalia western culture mkiwa na mtazamo wa Africa
Kubusu mama yake hivyo kwa western culture au hata English mbona ndivyo wanavyofanya wenyeji wa maeneo hayo? Tembeeni muone!
Hamna Bana cha western culture.

Mimi ninamiliki apartment ulaya. Nitembee nione mara ngapi?

Soma comment za watu wanayoiponda hiyo video kwenye social midea wote ni wa ulaya na Marekani

Nyau de adriz
 
Hatuna haja ya kutembea wakati dunia iko viganjani mwetu,na tunawaona kila siku,hiyo ni kuvuka mipaka,hata wazungu wenyewe hawafurahishwi na hilo...
 
Hatuna haja ya kutembea wakati dunia iko viganjani mwetu,na tunawaona kila siku,hiyo ni kuvuka mipaka,hata wazungu wenyewe hawafurahishwi na hilo...
Na wameiponda kweli cheki Leo daily mail uk
Screenshot_2025-05-10-14-52-22-98_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
 
Back
Top Bottom