Jolie hongera,wimbo ni mzuri

Huwa nikipakua wimbo nikausikiliza kwenye simu nawahi kuukinai

Lakini katika huu imekuwa tofauti kawimbo katamu kila siku nakasikiliza nakawekea repeat zaidi ya mwezi sasa lakini hakajanichosha hata na hapa nakasikiliza haka kawimbo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom