Watch "Kifesi: Diamond ameni-block/ Sijamwambia Zari/ Mavoko nimesikia" on YouTube

Huyu diamond sifa zake hawezi kumfikia hata Ney wa Mitego,au afande Sele,akidrop ajue anaanguka mazima,kama ni jitihada zake akaze kamba,kama ni ujanja ujanja I'm sorry,maana kwa wasanii wa maana kwa sasa na wenye thamani nchi hii hakuna wanaoheshimika kama Prof J na Sugu,Diamond hata akaze haja Kubwa kutafuta hela Prof J na Sugu hawezi kuvunja historia yao,kwanza hawezi kuwa mbunge daima,atakata mauno international,anazikwa na tunamsahau,ila prof J na Sugu ni wabunge wa Tz kihistoria.ili aweke historia awe mbunge au diwani,nani atamchagua?nenda ulaya userebuke mauno,uwe na TV ,hata TBC haiwezi kuvunja rekodi ya Sugu na professor J kimziki na kisisa
 
Mbona kama ume-panic?! Hili povu lako linahusiana vp na hii mada?
 
Tulia wee jamaa wewe hujalipa kodi eeh. Kila mtu anaweka historia kivyake mkuu. Wenyewe waraacha kwa staili ya ubunge yeye ataweka kwa kukata mauno so tulia hapo hapo. Wew usiakata mauno umefikia japo theruthi ya rekodi ya diamond? Udikalili maisha kila mtu ana mlsngo wa kutokea
 
We kwanza hustahili kutoa maoni maana hujulikani ni mwanaume au jike!
 
Huyu diamond sifa zake hawezi kumfikia hata Ney wa Mitego,au afande Sele,akidrop ajue anaanguka mazima,kama ni jitihada zake akaze kamba,kama ni ujanja ujanja I'm sorry,maana kwa wasanii wa maana kwa sasa na wenye thamani nchi hii hakuna wanaoheshimika kama Prof J na Sugu,Diamond hata akaze haja Kubwa kutafuta hela Prof J na Sugu hawezi kuvunja historia yao,kwanza hawezi kuwa mbunge daima,atakata mauno international,anazikwa na tunamsahau,ila prof J na Sugu ni wabunge wa Tz kihistoria.ili aweke historia awe mbunge au diwani,nani atamchagua?nenda ulaya userebuke mauno,uwe na TV ,hata TBC haiwezi kuvunja rekodi ya Sugu na professor J kimziki na kisisa
Mfumo wa maisha haufanani kama kuimba kwaya wote muanze kwa pamoja. Kila mtu akitaka kuwa mmbunge pale bungeni patatosha? Watu wote wawe na uwezo wa kula nyama unadhani ng'ombe watakuwepo? Kila mtu anataraji kufikia malengo flani katika mazingira yake ya kazi. Tusionyeshane chuki kwenye mafanikio ya mtu.
 
Huyu diamond sifa zake hawezi kumfikia hata Ney wa Mitego,au afande Sele,akidrop ajue anaanguka mazima,kama ni jitihada zake akaze kamba,kama ni ujanja ujanja I'm sorry,maana kwa wasanii wa maana kwa sasa na wenye thamani nchi hii hakuna wanaoheshimika kama Prof J na Sugu,Diamond hata akaze haja Kubwa kutafuta hela Prof J na Sugu hawezi kuvunja historia yao,kwanza hawezi kuwa mbunge daima,atakata mauno international,anazikwa na tunamsahau,ila prof J na Sugu ni wabunge wa Tz kihistoria.ili aweke historia awe mbunge au diwani,nani atamchagua?nenda ulaya userebuke mauno,uwe na TV ,hata TBC haiwezi kuvunja rekodi ya Sugu na professor J kimziki na kisisa
Anajua kusoma na kuandika? Halafu mbunge wa chama gani? Hii CCM ya Jiwe? Thubutu yake
 
Kwa wanaozungumzia mafaniko ya wanamziki bongo nashangaa watu kusema diamond wakati kuna wasanii wabunge
 
Hamna povu au unafanya imagination
Umeona sabuni humu au unaropoka ili mradi umetoa maoni
Wewe ndo unapaswa kujiuliza hilo swali! Kwani ni lazima utoe maoni hadi unafikia kuongea vitu irrelevant na mada?! Na kama hujui maana ya povu; kwa lugha nyingine ni kubwabwaja!! Wewe hapo umebwabwaja! Hoja ni Kifesi kuwa blocked na Diamond! Sasa wewe, mara oh; Diamond hamfikii Nay wa Mitego; mara oh, hawezi kuvunja historia ya akina Sugu! We jamaa vp wewe!!
 
Sasa hawa kina kifesi na mavoko wamejitoa au wametimuliwa? Mbona wako frustrated? Yaani mtu ujitoe mwenyewe kwa hiyari halafu ndio unapanga kazi ya kufanya baada ya kujitoa? Haiwezekani!!
 
Huyu diamond sifa zake hawezi kumfikia hata Ney wa Mitego,au afande Sele,akidrop ajue anaanguka mazima,kama ni jitihada zake akaze kamba,kama ni ujanja ujanja I'm sorry,maana kwa wasanii wa maana kwa sasa na wenye thamani nchi hii hakuna wanaoheshimika kama Prof J na Sugu,Diamond hata akaze haja Kubwa kutafuta hela Prof J na Sugu hawezi kuvunja historia yao,kwanza hawezi kuwa mbunge daima,atakata mauno international,anazikwa na tunamsahau,ila prof J na Sugu ni wabunge wa Tz kihistoria.ili aweke historia awe mbunge au diwani,nani atamchagua?nenda ulaya userebuke mauno,uwe na TV ,hata TBC haiwezi kuvunja rekodi ya Sugu na professor J kimziki na kisisa
Tuliza boli we mtoto wa kiume utaolewa hapa mjini, hii thread hakuna sehemu ametajwa Sugu/Jay nashangaa unawashwawashwa. Kwanza nini special kwenye ubunge? Mbona wengi wamekufa na tumewasahau, je kuna mbunge au Waziri amewahi kufa na kuacha alama kama ya Kanumba/Ngwea ambao tunaendelea kuwakumbuka hadi leo hii? Juzi tu hapa si amekufa Prof Maji Marefu, who care? Umeshasikia watanzania wakimlilia kama Kanumba/Ngwea? Hao kina Sugu na Prof Jay wakifa tutawakumbuka kwa umahiri wao kwenye sana na sio Ubunge we pimbi
 
Huyu diamond sifa zake hawezi kumfikia hata Ney wa Mitego,au afande Sele,akidrop ajue anaanguka mazima,kama ni jitihada zake akaze kamba,kama ni ujanja ujanja I'm sorry,maana kwa wasanii wa maana kwa sasa na wenye thamani nchi hii hakuna wanaoheshimika kama Prof J na Sugu,Diamond hata akaze haja Kubwa kutafuta hela Prof J na Sugu hawezi kuvunja historia yao,kwanza hawezi kuwa mbunge daima,atakata mauno international,anazikwa na tunamsahau,ila prof J na Sugu ni wabunge wa Tz kihistoria.ili aweke historia awe mbunge au diwani,nani atamchagua?nenda ulaya userebuke mauno,uwe na TV ,hata TBC haiwezi kuvunja rekodi ya Sugu na professor J kimziki na kisisa

Acha ufala, kwani kuwa mwanasiasa ndio kila kitu?
 
Mkuu mbona hiki ulichoandika ni tofauti sana na wewe? Ni wewe kweli au kuna mtu ameiba password yako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom