Wakili mtoto wa Karume azusha tafrani kortini
Tanzania Daima,22.11.07
na Happiness Katabazi na Nuru Yanga
WAKILI wa Kujitegemea, Fatma Karume, jana alitoa maneno makali dhidi ya Hakimu...
WAZIRI wa Habari, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amefunguka na kusema kuwa Mzee Majuto amedhurumiwa pesa milioni 25 na kampuni ya filamu ambayo jina lake amelihifadhi na kudai atatumia hata...
By Nasra Abdallah, Mwananchi. nabdallah@mwananchi.co.tz
Msanii Rich Mavoko amefikisha malalamiko yake serikalini kwa kutoridhishwa na mkataba aliopewa na uongozi wake wa WCB.
Hayo yamesemwa na...
Wabongo nimeamini tunapenda umbeya majungu na kufatilia ya watu
Tunapenda kudeal na yaso msingi
Issue ya sister fey na kibenten chake personal life yake watu wananunulia bandoo
Nimeamini watz...
Mwanadada Nandy amejikuta akivua nguoa na kubaki na nguo za ndani baada ya kupanda jukwaani na kuimba nyimbo zilizowapandisha mzuka mashabiki wake na kuanza kumshangilia kwa nguvvu na kujikita...
Ripoti: Mfumo wa uongozi WCB, mikataba ya wasanii pamoja na wanaomiliki hisa nyingi za kampuni
WCB ni moja kati ya label kubwa za muziki nchini Tanzania yenye mafanikio zaidi kutokana na ukubwa...
NILIKUA SIJAMUWISH star wetu chaumbeya nambari moja insta wengine wanajikongoja
Nimechelewa ila,,,,,ngoja nikuwish tuuu
Happy birthday to you #carrymastory
Heshima Zanu JF Great Thinkers.
I see WCB wana work hard sana kugrow bigger and bigger. Mimi nikiwa kama mdau na supporter wao nimewaza nishauri hili wazo.
Ni kuhusu kuendeleza vipaji vya...
Wadau mimi ni Beat ya wimbo wa MIKASI wa ManNgwair na Beat ya wimbo wa NIKUSAIDIJE wa prof Jay. Aisee hata kama nimekasirika naanza kupata raha tuu. Yani natamani kucheza au kutingisha kichwa...
Tukubali tukatae Mbosso ni msanii mkali kabisa wa kizazi cha sasa cha bongofleva.
Ana aina yake ya uhandishi, anauimbaji wa tofauti wa pwani, ana weza kutengeneza idea nzuri ya nyimbo.
Naweza...
Wakuu,
Familia ya Muna Love imekubali kuwa msiba utakuwa kwa mzee Peter ambaye alikuwa mume wa Muna, sasa je? Casto ataenda msibani hapo?
Endapo ataenda ni nini kitatokea? Kaa tayari kwa ubuyu...
1. Mume wa Zari, Ivan hajafa yupo hai amejificha sababu anadaiwa
2. Nyumba ya South Africa sio ya Diamond
3. Zari ana mtoto mkubwa ambaye anadanganya ni mdogo wake
4. Lowassa ana ugonjwa wa...
JULAI 28, mwaka huu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli alimteua aliyekuwa mshindi wa pili wa mashindano ya ulimbwende Tanzania (Miss Tanzania 2006), Jokate Mwegelo...